Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikulacho ki nguoni mwako.....wahenga walielewa haya mambo
Yeah,me watanishinda tu,maana ushoga shoga ni kichefuchefu sanaTunakoelekea japo ni ngumu sana hatuna budi kuwavumilia tu....manake sasa naona kila series wapo...unawaona kila episode!
Haaaa nimemuona jamaa akijiliza eti anampenda esperanza vurugu nyingi kumbe ni coward tu muoga ka nzi lol ha ha ha kapata wababe wake!!
Nimemsifia wapi lol hebu usinisingizie....:lol::lol:Nooo..wala husimwite kiazi..Huyo travis ni best yako..umetoka kumsifia muda si mrefu..tumekuacha uendelee nae
Nooo..wala husimwite kiazi..Huyo travis ni best yako..umetoka kumsifia muda si mrefu..tumekuacha uendelee nae
Yeah,me watanishinda tu,maana ushoga shoga ni kichefuchefu sana
Kale kadada kako so innocent jamani, ka kanisani....halafu kazuri mno....no wonder mama yake alikatafutia Travis....ila Travis anataka mkomavu wake,toto la mjini Kelly.
ha ha ha uwiiii travis handsome lkn lol....baadae wajamenimi mwenyewe namshangaa Ms. Kelly aka Gourgeous mimi kumuona Travis kiazi....sisi ndio tumuone kiazi wewe itabidi utafute namna nyingine ya kumlea akue na awe na maamuzi yake
Mnyonge sana sema hataki demu amkalie kichwani basi anampa shida.....matokeo yake kina ray lee wanamtaka sasa kwa udhaifu wake....eti anapenda anavyolalamika.
ha ha ha uwiiii travis handsome lkn lol....baadae wajameni
mi mwenyewe namshangaa Ms. Kelly aka Gourgeous mimi kumuona Travis kiazi....sisi ndio tumuone kiazi wewe itabidi utafute namna nyingine ya kumlea akue na awe na maamuzi yake
Ni ka-cute sikatai...ila nae kiazi tu kama bf wake..utahuifadhi vipi moyo wako kwa mtu ambae unajua fika mapenzi yake yako kwa mtu mwingine..expire date ya huhusiano wao iko karibu
Hahahaha...esperanza anavyolalamika kama anakubembeleza vile....mtu kama yule unaweza ukawa unamudhi kila saa yani
na humpati....wewe na Alex aka Peppa....muongo anakuangalia hapo machoni na kujichekesha.....mwanamke katili sana yule
Basi..si mshanipa mercie..nimekubalia...Hadi sasa sijajua Alex anampenda nani zaidi..brad au Randal