Series (Special thread)

Series (Special thread)

Peppa katili kweli she is playing all innocent wakati she is pure evil umeona alivyomlaghai Mercie kuwa Randol only smells her perfume at the area he tucks his shirt coz she hugged him....:shocked::shocked::shocked: with assurance dah...she is all over him bibi sitaki nataka...i hope she is pregnant with Randol´s child aumbuke!!!

Yuko busy kuhesabu tarehe, yule mtoto ni wa Randol....kuna siku mashoga zake design walimwambia mtoto ni coloured walipoona picha.....ila hakuelewa sijui
 
Yah...nimeona part hio...niko last episode atajuaje ka mtoto wa black masikio yanakuwa dark she is all white herself!I liked when Lucious maned up and took control that was hot lol!!!
 
Lucious tena G? sijui ila yule mama chokoraa mwenzangu alisema ivyo....nyie wataalamu mtuambie
 
Mama chokoraa mwenzako ndo yupi shost!!ha ha ha umeona pale natalie akipapurana na mwanae kulipokuwa na episode ya wizi aliwatuliza wote ha ha ha
 
Jamani Miss Kelly kaniumiza moyo when she said"You only know how love hurts when you love the wrong person,thats true love" and it really hurts...nimefurahi kweli alipomzaba kibao jamaa naona angemzibua na cha shavu jingine pia :lol::lol:

Do u think Kelly is strong enough to stay away from Travis??..me naona kama anaidhulumu nafsi yake tu...and I feel srry for that little boy..kanadhani travis ni baba yake..
 
She is fighting it but she loves him too much...i think they will end up together...
 
Mama chokoraa mwenzako ndo yupi shost!!ha ha ha umeona pale natalie akipapurana na mwanae kulipokuwa na episode ya wizi aliwatuliza wote ha ha ha

Natali ndio mama chokoraa mwenzangu....mama wa ghetto....lol....type nyingine ya mtu wetu hiyo!
 
Mama chokoraa mwenzako ndo yupi shost!!ha ha ha umeona pale natalie akipapurana na mwanae kulipokuwa na episode ya wizi aliwatuliza wote ha ha ha
lucious is jst a gud man..i like him..mama chokoraa nadhani ndo huyo mke wa lucious...ila why mama chokoraa???? Michelle
 
Last edited by a moderator:

Natalie ndio mama chokoraa mwenzangu,watoto wengi,anaishi ghetto na anapambana balaa kumudu familia....I like her!
 
hahaah!!! kweli yule ni mama wa ghetto..halafu ni mmbeya balaaa..yani hakukopeshi..kama kuna ishu anatiririka tu
 
Mmbeya wapi jamani?
mmbeya yule..kwenye birthday ya brad..alex na randol walivyokuwa upstairs akaamua kuwafwata..hata akiwa na wenzake mara nyingi ye ndo anapenda kuuliza maswali ya kuchokonoa
 
Ulitaka afanyeje sasa,hana hela ya kula bata....hata umbeya tu wa kumpa raha na kumuonyesha hata wenye nazo wana shida zao iwe kero? We nenda zako kwa Peppa huko
 
Hahaaa!! Ila nilimpenda pale alipoenda kumcover mtt wako kwa wale wahuni..kaliwapiga biti za ukweli
 
dah independent woman madai yake....ila jamaa yake yule namkubali sana...he is a real man...sema mwenyewe anaona ana deserve zaidi ya yule....lol....amchukue Randol
Kwi kwi kwiiii ww naona tukupe bwana Lucious au unaonaje raylee???Si nilikwambia aliwaweka sawa wote na akili zikawakaa sawa...I wish nimpate ka yule :eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom