Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Humpatii :lol::lol:Nimegoma jamani..msinifanyie hivyo mtt wa mwanamke mwenzenu..why mnipe machizi??..namataka esperanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humpatii :lol::lol:Nimegoma jamani..msinifanyie hivyo mtt wa mwanamke mwenzenu..why mnipe machizi??..namataka esperanza
I like kelly anavyoongea,the humble and caring type....na bwanaake Travis mmhhhhhh!!!
Humpatii :lol::lol:
Amen....mbona humuongelei best wako nani yule aliyekuwa Mission...katafutiwa mwanamke na mama yake na bado anampenda bi mkubwa wake???? kweli kuna wanaume vichwa maji.....simuelewagi kabisa yule kijana
Ushoga na usagaji tu ndo unanikera muleZa udukuzi nzuri ila sasa zimekuwa mno nyingi na kama zinajirudia vile ila watu tofauti....Empire imeleta utofauti
I like kelly anavyoongea,the humble and caring type....na bwanaake Travis mmhhhhhh!!!
ndio maana kina Randol mnatakiwa kina Maryjane
Randal ni mwisho wa matatizo..mchepuko gani hauogopi..yani huko huru kama unajilia mali zake
Ngoja nendelee kuangalia huku i will be back nicheke zaidi maana nimefurahi...Yaani yule ni aina ya rafiki namtaka....she is wise ila sasa kapata baby Travis amlee....kazi kweli kweli....nenda tu utamchukia na huyo Travis
Ushoga na usagaji tu ndo unanikera mule
Mchepuko umesahau njia kuu...poor Marcie akimsuspect mpaka Esperanza kumbe mbaya wake rafiki kipenzi Alex....maskini we!!!Ukilewa dhambi unakuwa kipofu....sijawahi kuona mtu mjinga vile....! Hata kujitahidi kwa mkeo basi....zeroooo,kafa kwa mke wa rafiki yake.
Sio best angu tena..Travis ni kiazi yule..tena kiazi mviringo..hata simuelewi..bt I hope watakuwa sawa tu..soon Kelly atalegeza msimamo
Akome,hatumpi ng'o....!Akishapata somo arudi tutampatia Mercie....Esperanza tutakuja kung'olewa kucha na Mexican Gangs
Mchepuko umesahau njia kuu...poor marcie akimsuspect mpaka esperanza kumbe mbayacwake rafiki kipenzi alex....maskini we!!!
Ukilewa dhambi unakuwa kipofu....sijawahi kuona mtu mjinga vile....! Hata kujitahidi kwa mkeo basi....zeroooo,kafa kwa mke wa rafiki yake.
A Man kissing with another man?nope,yule Mzungu nae ndo alikubali kuwa kimada wa Jamal,,,,,,,,,,,,:disapointed:so stupid,kuzoezoea kuangalia kule si kuzuri,bora tunaangalia kwenye ma-PC je ingekua kwa TV ni hatar sanajamani,mbona ukiwatizama mashoga kama Jamal na vipaji vyao wanavumilika tu....Bora hata wa Empire,kuna series inaitwa The have and the have nots ,huyo shoga wa hiyo ni balaaa,unaweza acha series
A Man kissing with another man?nope,yule Mzungu nae ndo alikubali kuwa kimada wa Jamal,,,,,,,,,,,,:disapointed:so stupid,kuzoezoea kuangalia kule si kuzuri,bora tunaangalia kwenye ma-PC je ingekua kwa TV ni hatar sana
ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa,umeona sasa ndio maana tunakupa Peppa.....Travis ni kiazi kwa kumpenda mwanamke wake zaidi ya aliyochaguliwa na mama yake?? Kelly deserves better
Kikulacho ki nguoni mwako.....wahenga walielewa haya mambo
Nooo.ni kiazi kwa kushindwa kuipigania nafsi yake..na kale kademu chake hata sikaelewi..kaliongozana na Travis kwenda kwa Kelly ili iwaje??..Kelly angekanasa hata vibao viwili atleast akili zimkae sawa