gorgeousmimi Mi nahisi hajakukera kama mi anavyonikera Randal...yani nimetokea kumchukia tu Yule kaka...vipi upate mchepuko kama ule???..hope utatamani ardhi ipasuke utumbukie...jamaa ni king'ang'anizi ile mbaya...nimekapenda ka-esperanza mwenzio..nifanyie mpango basi...I like the way kanavyolalamika Eddie akiwa anakazingua...
Hata sijafika mbali bado lkn keshanichefua roho...usiniache nikaangalia episodes zote leo loh....A weak pyschpath....sijui kama umeangalia mpaka mwisho,ni dhaifu sana yule....analia kama mtoto....kapata kiboko yake,mwanaume wa ukweli mwenye support ya gang members.....acha kabisa....patachimbika
ha ha ha umempatia kabisa type yake Mary Jane....:lol::lol::lol::lol:ha ha ha haaaaaa, type yako Mary Jane uko huku unamtaka Esperanza wa watu.....wewe tutakupatia Peppa
Hata sijafika mbali bado lkn keshanichefua roho...usiniache nikaangalia episodes zote leo loh....
ha ha ha haaaaaa, type yako Mary Jane uko huku unamtaka Esperanza wa watu.....wewe tutakupatia Peppa
ha ha ha umempatia kabisa type yake Mary Jane....:lol::lol::lol::lol:
Hahaha..MJ nimeachana nae..nisije ku-run mental bure....ka-esperanza kanajua kulalamika..peppa labda mnipe kama nyongeza..hana guarantee yule
A weak pyschpath....sijui kama umeangalia mpaka mwisho,ni dhaifu sana yule....analia kama mtoto....kapata kiboko yake,mwanaume wa ukweli mwenye support ya gang members.....acha kabisa....patachimbika
Kuna EMPIRE kwa sasa ni nzuri pia,ila me napenda za Intelijensia,mambo ya upelelezi na udukuzi dukuzi
Yeah ushoga hata mie umenikera sana kwa Empire,naona US wanajaribu kuutangaza kwa hali na mali,ingawa baadhi ya watu bado wanauchukia including Lucio,japo kibiashara haupingi.Hii ndio series ambayo naichukia kwa mwaka huu.. inshort kila kitu kiko sawa ila waliponiudhi ni kwenye ushoga baaasi!!
Nimefika episode 5 haaa huyu Randol bana ananahii na mkewe mbele ya Alex...dah thats nasty sijui ndo anajaribu kumtia wivu alex au nn!!!Basi yule Edward akimnyanyasa Esperanza nakasirika natamani nimtetee!!!Kama edward kapata wababe wake ni vizuri naona julius is plan to kill him teh teh teh!!!Macho yatauma nenda nayo tu taratibu Gourgeous.....lol...alikosea tu kuoa mwanamke kwa hela zake huku moyo uko kwa Esperanza.....mi nampenda mke wa Randol,japo mjinga lakini nakapenda....she is so innocent jamani
Simpendi yule kaka pia,by the way simuoni kama ni actor mzuri...too fake!
Nimefika episode 5 haaa huyu Randol bana ananahii na mkewe mbele ya Alex...dah thats nasty sijui ndo anajaribu kumtia wivu alex au nn!!!
Macho yatauma nenda nayo tu taratibu Gourgeous.....lol...alikosea tu kuoa mwanamke kwa hela zake huku moyo uko kwa Esperanza.....mi nampenda mke wa Randol,japo mjinga lakini nakapenda....she is so innocent jamani
Hope next episode brad ayafanya yake tusimuone tena
Marcie anatia huruma Kwa kweli alikuwa anamuamini sana randal..
Nimefika episode 5 haaa huyu Randol bana ananahii na mkewe mbele ya Alex...dah thats nasty sijui ndo anajaribu kumtia wivu alex au nn!!!Basi yule Edward akimnyanyasa Esperanza nakasirika natamani nimtetee!!!Kama edward kapata wababe wake ni vizuri naona julius is plan to kill him teh teh teh!!!
Namshangaa sana kupenda vinyonge,type zake ni za Maryjane na Peppa :lol::lol::lol::lol:
Tumeshakunyima Esperanza, una option ya Peppa....kama ungekuwa umeangalia the Have and the Hav nOts tungekupa Candice au Amanda....hiyo nayo ni kichaa series....!
I like kelly anavyoongea,the humble and caring type....na bwanaake Travis mmhhhhhh!!!Tusikumalizie uhondo..malizana nayo kwanza