nafurahi kukuona..uje leo tuimalizie basi..wife kasafiri
hizi dharau zako siku zitakutokea puani..mi nimeweka pause nakusubiriAkuuu nisijekukata vinanii bureee!!
Wayward Pines imefika ep6, Complications Inarushwa kila alhamisi,
Akuuu nisijekukata vinanii bureee!!
hizi dharau zako siku zitakutokea puani..mi nimeweka pause nakusubiri
Vinanii ndo vinini??
we katoto embu tulia.raha ya ngoma uingie ucheze..usitake kusimuliwaHahahaaaaaa! Yaani wewe umemaliza, hebu nisaidie kumuuliza maana macho husoma kile unachotaka kusoma!! Ye kawaza mbaaaaaali wakati mie walaaa sijafika huko, eti Kaboom yaliyomo yamo kweli mbona umewaza mbali hivyo jamani wakati mie hata wazo sina!!
we katoto embu tulia.raha ya ngoma uingie ucheze..usitake kusimuliwa
huyu hawezi kunipanikisha..najua ntamakamta wapi
basi yameishaAiii huko walaaaaa mie sikukuwaza ujue, wewe ndio umekuwaza!!
Kama sijakuelewa vile but ikiwa unataka series za kizamani kama Game of thrones Kwa kweli katika pitapita zangu sijafanikiwa kukutana na series ya kizamani ambayo haina matusi
Imekuwa ni kama utamaduni kwa upande wa muvi za ancient world kuwa na matusi na hii inaonekana kama ndio hilikuwa lifestyle yao mfano series kama Rome na Spartacus ukitoa hiyo GOT yaani ni matusi mwanzo mwisho
Kuna watu wachache sana ambao wanachukizwa na hii tabia lakini eti kuna watu wengi zaidi wanaochukizwa na brutality katika series hii ya GOT so inawezekana makuzi yetu sie Waafrica yako tofauti na wenzetu walioendelea maana mzazi yupo tayari kuangalia muvi yenye sex scene kuliko kuangalia muvi yenye ukatili tena hasa wa kijinsia
Waongozaji wa hii GOT wamepunguza ukatili kuliko matusi na hata muungano wa mashoga uko USA unatoa fund hili tu waweke vipengele vya uhusiano wa kishoga n they pay a lot of money lakini wanalipa pesa kisiri ili tu kupromote na ionekane ushoga ni sehemu ya maisha ya mwanadamu
Asante mkuu,
Vipi kuhusu series ya Reign nayo ina mambo ya laana kama Game of Thrones?
Under the dome
Mzigo nishaubeba wangu, hii ilikuwa kwenye my top list! Tusiache kukumbushana katika ujio wa mizigo mingine! Much respect.hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee at last "the last ship" is here huhuhuhuhu!!!!!!!!
wadau wa last ship kaka chige na wengine go grab ur first episode kwa torrent ndio ina 8 hours now....
am sooo happy.:smile-big::smile-big:
Mzigo nishaubeba wangu, hii ilikuwa kwenye my top list! Tusiache kukumbushana katika ujio wa mizigo mingine! Much respect.