Series (Special thread)

Series (Special thread)

Akuuu nisijekukata vinanii bureee!!

hizi dharau zako siku zitakutokea puani..mi nimeweka pause nakusubiri

Hahaha mjomba naona amepanic.....ila atoto mwenzio kakutegea huyo ndio maana kaweka pozi anakisubiriii
Kaboom sio kukuta ni kukata vinaniii buree....mjomba vipi au kweli nini inabidi ujue kunata na beat....
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaaaa! Yaani wewe umemaliza, hebu nisaidie kumuuliza maana macho husoma kile unachotaka kusoma!! Ye kawaza mbaaaaaali wakati mie walaaa sijafika huko, eti Kaboom yaliyomo yamo kweli mbona umewaza mbali hivyo jamani wakati mie hata wazo sina!!
 
we katoto embu tulia.raha ya ngoma uingie ucheze..usitake kusimuliwa
 
Kama sijakuelewa vile but ikiwa unataka series za kizamani kama Game of thrones Kwa kweli katika pitapita zangu sijafanikiwa kukutana na series ya kizamani ambayo haina matusi

Imekuwa ni kama utamaduni kwa upande wa muvi za ancient world kuwa na matusi na hii inaonekana kama ndio hilikuwa lifestyle yao mfano series kama Rome na Spartacus ukitoa hiyo GOT yaani ni matusi mwanzo mwisho

Kuna watu wachache sana ambao wanachukizwa na hii tabia lakini eti kuna watu wengi zaidi wanaochukizwa na brutality katika series hii ya GOT so inawezekana makuzi yetu sie Waafrica yako tofauti na wenzetu walioendelea maana mzazi yupo tayari kuangalia muvi yenye sex scene kuliko kuangalia muvi yenye ukatili tena hasa wa kijinsia

Waongozaji wa hii GOT wamepunguza ukatili kuliko matusi na hata muungano wa mashoga uko USA unatoa fund hili tu waweke vipengele vya uhusiano wa kishoga n they pay a lot of money lakini wanalipa pesa kisiri ili tu kupromote na ionekane ushoga ni sehemu ya maisha ya mwanadamu

Asante mkuu,
Vipi kuhusu series ya Reign nayo ina mambo ya laana kama Game of Thrones?
 
Asante mkuu,
Vipi kuhusu series ya Reign nayo ina mambo ya laana kama Game of Thrones?

Hii Reign niliiangaliaga Pilot yake tu na kusema na ukweli sikuipenda kivile coz naona imekaa kiteenager sana na mie series za kiteenager nmezichoka kuanzia Vampire diaries mpaka One tree hill..

Ina mandhali nzuri ya kizamani na kifalme lakini wameweka plot yake kama ya mapenzi ya kicolloge and I'm too old for this..

Tukirudi kwenye swali lako ni kwamba hii Reign coz inahusu mahusiano ngono zake sio zile kali na za hadharani kama kwenye Game of thrones ingawa zipo
Inafaa kuangalia
 
hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee at last "the last ship" is here huhuhuhuhu!!!!!!!!
wadau wa last ship kaka chige na wengine go grab ur first episode kwa torrent ndio ina 8 hours now....
am sooo happy.:smile-big::smile-big:
Mzigo nishaubeba wangu, hii ilikuwa kwenye my top list! Tusiache kukumbushana katika ujio wa mizigo mingine! Much respect.
 
Back
Top Bottom