Series (Special thread)

Series (Special thread)

mie wakorea hapana kwakweli zimenishinda, cmalizagi hata episod moja, ukiongezea na kuconcetrate na sub title ndio kabisaaaa!!!
kinachoboa wakorea ni hizo subtitles lakini sie wengine kv kizungu chenyewe ni cha kuunga uunga basi hata hao wanaoongea kuzungu ni lazima tubandike na subtitles ndipo 2naweza kwenda pamoja... kwahyo, kwa hili najionea sawa tu!
 
24Hours
Banshee
Breaking Bad
Tyrant
Empire
 
Redmond ni zaidi ya mtu wa kawaida sijawahi ona mtu anaigiza ana connection na criminal na system kama yeye!

Ha haa na kwenye Breaking Bad kuna mtu anaitwa Soul, ni noma anaconnection balaa
Kila kitu kinachowezekana basi kinawezekana kwake
 
Wakuu jana jpili ndio nimemalizia kuangalia Game of Throne, bonge moja la series kwa wanaopenda mambo ya kale
Naisubiri kwa hamu niione season six kujua hitma ya Tyrion, Arya, John Snow, stanish, Daenerys, Sansa, Beilsh nk
 
Ha haa na kwenye Breaking Bad kuna mtu anaitwa Soul, ni noma anaconnection balaa
Kila kitu kinachowezekana basi kinawezekana kwake

Sio kinachowezekana ni kinachoshindikana kwake kinawezekana...ananifurahisha anaposema...I know someone who know some who know some....hapo lazima ukae...sema na yeye muoga sana.
 
Wakuu jana jpili ndio nimemalizia kuangalia Game of Throne, bonge moja la series kwa wanaopenda mambo ya kale
Naisubiri kwa hamu niione season six kujua hitma ya Tyrion, Arya, John Snow, stanish, Daenerys, Sansa, Beilsh nk

Season 5 ndiyo inayofata umekosea mjomba....na inatoka April 12...mi naisubir kwa hamu sana

One of the best watched TV show badala ya Breaking Bad...
 
Redmond ni zaidi ya mtu wa kawaida sijawahi ona mtu anaigiza ana connection na criminal na system kama yeye!
Red ni noma mkuu, anatisha na kwa hakika hii series inanifanya niwaze mengi sana. inawezekana baadhi ya mambo ya mle hata hapa bongo yapo.
 
Kyle xy episode 5 ntaipataje?
Nimeishia no 4 kwenye CD!!!
 
Back
Top Bottom