Series (Special thread)

Series (Special thread)

Bi mkubwa jaribu kupitia kurasa hadi kurasa tumeshadiskasi sana...

Hata hivyo kama unataka kupakua sirizi za kimarekani Kickass torrent ni nzuri...pia unaweza ukajaribu extratorrent...

Ok thanks.
 
Karibu tena...

Ila sijaona ukitaja weye wapendezwa na sirizi zipi...

Niliipenda
Saw
Prison break
Lost
The vampire diaries
24 hrs
Arrow
Revenge
The walking dead
East high los school
 
Niliipenda
Saw
Prison break
Lost
The vampire diaries
24 hrs
Arrow
Revenge
The walking dead
East high los school

Ooh kumbe tuna vionjo sawa...isipokuwa hapo kwa Vampire Diaries

So far napenda Arrow ilipofikia...sijui kama umetazama last episode?
 
Wakuu ama kweli nirudi nyuma niende mbele bado 24 inanimix sanaaa.kwa sasa naangalia the blacklist na banshee nimeangalia.Sasa niambieni wakuu niangalie series gani ambayo Ina utamu kama hizi?nasubiri ushauri hapa kijiwe kiboko nimehamia hapa rasmi
 
Homeland, White Collar, Arrow, The 100, The Following, Forever, The Event (ilikatishwa season 1), Revolution...
 
Wakuu ama kweli nirudi nyuma niende mbele bado 24 inanimix sanaaa.kwa sasa naangalia the blacklist na banshee nimeangalia.Sasa niambieni wakuu niangalie series gani ambayo Ina utamu kama hizi?nasubiri ushauri hapa kijiwe kiboko nimehamia hapa rasmi

Ah! Hii blacklist nime download s01 sijaimaliza bado lakini huenda nikaaicha njiani,naona jamaa wapo ka staring wa kihidi,hamna upinzani hata kidogo.
Nimeikubali sana "Homeland".
 
Wakuu nifundisheni kudownload movie please the whole process kwa urahisi. Ahsante in advance
 
Back
Top Bottom