Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Mkuu series zilizonivutia kidogo zinaendana na hiyo ni
Vikings
Spartacus
....
Baada ya kutazama Rome na Spartacus nikaona nijaribu Vikings ila naona imenishinda kabisa...nimeamua kuiacha kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu series zilizonivutia kidogo zinaendana na hiyo ni
Vikings
Spartacus
....
Bi mkubwa jaribu kupitia kurasa hadi kurasa tumeshadiskasi sana...
Hata hivyo kama unataka kupakua sirizi za kimarekani Kickass torrent ni nzuri...pia unaweza ukajaribu extratorrent...
Ok thanks.
Baada ya kutazama Rome na Spartacus nikaona nijaribu Vikings ila naona imenishinda kabisa...nimeamua kuiacha kwanza
Wanajamvi naombeni mnisaidie vizuri..? Hivi series inayoitwa Breaking Bad ina mashiko gani..?
Karibu tena...
Ila sijaona ukitaja weye wapendezwa na sirizi zipi...
Niliipenda
Saw
Prison break
Lost
The vampire diaries
24 hrs
Arrow
Revenge
The walking dead
East high los school
Baada ya kutazama Rome na Spartacus nikaona nijaribu Vikings ila naona imenishinda kabisa...nimeamua kuiacha kwanza
Wakuu ama kweli nirudi nyuma niende mbele bado 24 inanimix sanaaa.kwa sasa naangalia the blacklist na banshee nimeangalia.Sasa niambieni wakuu niangalie series gani ambayo Ina utamu kama hizi?nasubiri ushauri hapa kijiwe kiboko nimehamia hapa rasmi
Game of thrones
Da Vinci demons
Mkuu umeziona hizo ni zaidi ya Rome!
Wakuu ama kweli nirudi nyuma niende mbele bado 24 inanimix sanaaa.kwa sasa naangalia the blacklist na banshee nimeangalia.Sasa niambieni wakuu niangalie series gani ambayo Ina utamu kama hizi?nasubiri ushauri hapa kijiwe kiboko nimehamia hapa rasmi
Ooh kumbe tuna vionjo sawa...isipokuwa hapo kwa Vampire Diaries
So far napenda Arrow ilipofikia...sijui kama umetazama last episode?
Hapana sjaichek bado
...itafute mpendwa
Homeland, White Collar, Arrow, The 100, The Following, Forever, The Event (ilikatishwa season 1), Revolution...
Wakuu nifundisheni kudownload movie please the whole process kwa urahisi. Ahsante in advance
Ngoja nijaribu Game of Thrones...
Kwenye title cover huwa namuona yule mbilikimo ambaye ameigiza movies kadhaa...
Mkuu soma post number 681 utapata suluhisho