MR UNINFORMED
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,209
Tuache sisi tuangalie series...we kafanye kazi...kazalishe mali....kakuze uchumi...ukiona tunakuja kukuomba msaaada tupe series...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hey at some point mtu anahitaji kupumzika na kurefresh mind, so inategemeana na starehe ya mtu, wengine sie hii ndio starehe yetu na mbaya zaidi ni kuwa haujui hizo movie twaangalia muda gani so dont be sooo judgemental, when u think u know too much its when you know not.
Achana nae huyo my lady ugonjwa wake nmeshaujua.....
Kipele kikiwasha kinaitaji mkuno tu...ha ha
Labda atuambie yeye amefanya nini kwenye hii dunia bastard huyo...
Nimeangalia za kutosha tu ila nachoweza changia ni kuwa hakuna series nzuri hapa duniani zaidi ya "The Game of Thrones"
Marine ni nzuri pia, kwasasa kuna hii inatwa Arrow, Inaendelea bado.
Sure GoT balaa...Arrow nmeangalia lakini haijanifurahisha coz kuna mambo mengi ya kubuni...
Hii ndo top 10 yangu of all time
1)game of throne
2) prison break
3)24
4) lost
5) Breaking bad
6) da Vinci demons
7)Spartacus
8) the 100
9)revolution
10) person of interest
Tupo pamoja sana ila iyo da Vinci demons bado sijaangalia
Tafuta moja inaitwa A man from another star...ipo simpo bt ni nzuri sana
Hello atakaependa tu exchange series Nina series nying tu hasa za comedy na love story pia za kikorea ninazo nipo kariakoo -0762778385
Mkuu hii ya kikorea au!