Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
We are on the same waySasa tumuache Mungu apambane nao na wale wanaoutetea ushoga,ila kama binadamu wenzao hatuna budi kuwakubali walivyo....si tumeambiwa tuchukuliane mizigo,tuonyane kwa upendo na kuvumiliana?? Mi hii ishu ni ngumu kwangu,manake kuna ambao wanaona wamezaliwa na jinsia wasizozistahili.