Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Natazama Atlantis na huyu princes ananikosha kweli daaaah.....
Atlantis nilicheki only season one, namkumbuka yule bonge(aklees) sijui nimepatia jina, he is very funy kwakweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natazama Atlantis na huyu princes ananikosha kweli daaaah.....
Mkuu series nyingine ambayo niliipenda lakini hawakutoa S2 ni The EventsHostages wameishia S01 coz haikupata reception nzuri na watazamaji wengi lakini ni bonge la series
Mkuu series nyingine ambayo niliipenda lakini hawakutoa S2 ni The Events
Inasemekana yule main actor Sean Walker alipishana kauli na director na series ikaishia paleHivi kumbe haikuendelea eeh, i loved it too
Inasemekana yule main actor Sean Walker alipishana kauli na director na series ikaishia pale
GOT ndio series gani wadau....najaribu searching siipati, inaitwa hvyo au hiko kifupi chake.please help
Atlantis nilicheki only season one, namkumbuka yule bonge(aklees) sijui nimepatia jina, he is very funy kwakweli.
Inasemekana yule main actor Sean Walker alipishana kauli na director na series ikaishia pale
Hahaha very funny..ndo jina lake umepatia
Wenzie wakifanya jambo kubwa basi ye anajizolea maujiko eti yeye ndio kalifanya, hivi ipo hadi season ngapi?
Inasemekana yule main actor Sean Walker alipishana kauli na director na series ikaishia pale
Ile kitu waligusa ukweli fulani wa mambo ikahatarisha usalama wa nchi....actor akizingua haiwezi sababisha series ife....anatolewa na wala hutojua..
Kuna vyanzo vingi vya habari duniani tena ikichangiwa na hii mitandao ya kijamii inayoibuka kila siku so mtu unaweza ukaamini lolote unalolisoma au kulisikia
Movie industry inategemea sana faida (profit) kuliko kitu kingine chochote kama biashara nyingine yoyote sasa ikitokea kuna hasara (loss) sidhani kama mtu atakuwa tayari kupata hiyo harasa(loss) na soko la series biashara yake kubwa ipo kwenye idadi ya watazamaji, kituo cha tv kinachorusha hiyo series kinapata faida(profit) kubwa sana iwapo kutakuwa na watazamaji wengi( nitarudi kuelezea biashara wanafanyeje kutokana na wingi wa watazamaji) na kama show itakosa watazamaji wengi inakuwa cancelled coz ni biashara ambayo haina faida
Tukirudi kwenye suala la THE EVENTS ni series iliyopataga reception kubwa sana iliporusha Pilot yake Kwa mara ya kwanza mwaka 2010 mpaka baadhi ya wachambuzi wakasema ndio mbadala wa 24,Lost na 4400 lakini waliicritisize kwamba inamaswali mengi sana ya kijibu ambapo ilipokuwa inaendelea watazamaji wakawa wanapingua kila siku mpaka ikafikia katika ep ya 15 watazamaji walipungua kwa 48% hivyo ikawa ni biashara haina faida( profit) wakaamua kuicancel
Suala unalosema kaka Innocizy ni kweli kwamba katika kazi kuna conflicts lakini haziwezi kiathili biashara kiasi hicho maana kuna njia nyingi ya kuzitatua bila kuathili utendaji ila upo long kwenye suala la kwamba eti ilihatarisha usalama wa nchi
USA ndiyo nchi inayoongoza kwa uhuru na democrasia ya kujielezea ni nchi pekee na chache ambazo raisi anaweza kutukanwa hadharani
Lazima pia tujue makundi ya kijamii yanayoangalia sana TV ukiangalia kwa haraka haraka wanawake na watoto ndio wanaoongoza kuangalia TV sebureni hii inamaana kwamba vipindi na show zinazopendwa sana na wao ndio sitakazo pata watazamaji wengi,sorry kama sijakosea hata hiyo The event yenyewe ilicanceliwa ili kuipa nafasi show flani hivi ya kike kike sema nimeisahau sema,
Wanaume sisi tunapenda sana show za kibabe,kisayansi na kitafiti lakini hatukai sebureni kuangalia sie ni wazee wa torrent na kupakua bure na kwa uwizi ndio maana show zinazopendwa na wanaume nyingi zinakuwa cancelled
Show kama Disparate house wives ilipata sana umaarufu sababu tu ya kupendwa na kutazamwa sana wanawake
Pia zipo show nyingi sana ambazo zimecanceliwa baada ya kuonyesha Pilot
Pia kaka chuma cha reli ulishaona series flani ameact idris Elba inaitwa Luther????iko hadi season tatu ndo mwisho ila wakaicancell hapo.
Atlantis nilicheki only season one, namkumbuka yule bonge(aklees) sijui nimepatia jina, he is very funy kwakweli.
Hata Mimi niliangalia season 1 tu!
Iliendelea kumbe, ila hata sikumbuki nilipoishia