Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna series mpya kabisa imeanza june inaitwa MR. ROBOT... tafuteni nikali sanaaa ni ya hackers
 
Thats what I say brother Jawai..wameshalost plot ya series...wanachofanya ni kuleta muendelezo but i guess this will be the season finale kwa hii the Last ship...wanachofanya ni kurudia yaleyale tu...business as usual...
They don't have anything new..

Khaaaah we nawe unajua hizo isue hadi unakera!! Mie warudie wasirudie naona movie tu na nilivyomsahaulifu sasa ndio hata sikumbukagi hayo mavitu, naburudika tu.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha atoto ila usisahau rafiki yako amekuita kule muangalie wote hile ya bikra mwenye mimba....maana kwenye hile POWER si uliogopa niniliu...hahahha
 
Mmmmh huyo naye ana lake jambo sio bure, anaacha kuangalia na mkewe ananiita mm, nitamtoa busha la usoni,
Nimeimiss power aisee!!
 
Last edited by a moderator:
Bora niivumilie foleni nilioizoea, si unajua tena bora shetani umjuaye kuliko malaika usomjua?

Mie mgeni bibie...maana kule kijijini kwetu barabara za lami zenye foleni hakuna ni milima na mabonde tu ndio kikwazo sio foleni....
 
Tyrant Season 2 imetoka,nimeona episode 1,2 & 3
 
Mie mgeni bibie...maana kule kijijini kwetu barabara za lami zenye foleni hakuna ni milima na mabonde tu ndio kikwazo sio foleni....

Sasa ulijuaje njia kuu kuna foleni? Haya karibu uwe mwenyeji.
 
Sasa ulijuaje njua kuu kuna foleni? Haya karibu uwe mwenyeji.

Mie ni mjumbe wa nyumba kumi a.k.a balozi...kila siku naletewa kesi Mara oohh mme wangu kaninyima unyumba mwezi wa sita sasa mwingine nae mke wangu nikimpiga denda hataki ....yaani ni full vituko kwenye hiyo tasnia ya ndoa...hahahaha
 
Duuh ngoja nami nifanye nilete kesi yangu
 
Mweeeeh!! Yapi hayo?

Nadili na makosa ya wanawake tu...na sharti lake lazima niobserve mwenyewe so kama mtu ananyimwa uroda na mke wake inabidi nimuweke detention huyo mke wiki tatu nyumbani kwangu ili nijue ni nini kinachosababisha mpaka amnyime mwenzie uroda halafu ndio natoa hukumu..

So kwa suala lako nakushauri fanya kosa la kiufundi makusudi kwenye hile tasnia yetu tunayoifanyaga tukiwa tumezima taa zen mshauri huyo the luck guy ailete kwangu hiyo kesi....yaani ntatoa hukumu nzuri mapaka basiiiiii
 
Hahahaaaaaa, duuuh sitaki kuamini, we mshauri matata, basi mie matatizo yangu yameisha.
 
Mhh roho mbaya hiyo...sasa mie ntakula wapi na hii ndio kazi inayoniweka mjini..

Kule detention nawapakaga ndula wanadata wenyewe..
 
Back
Top Bottom