So msishangae hata wafanyabishara wakubwa hapa Tanzania wanaoffshore pesa nje ya nchi bila kukatwa kodi wala serikali kujua kwa njia hiyo ,maana mfumo inaoperate kama cycle flani ,mfano labda mfanyabiashara mkubwa kama Dewji au muuza dawa za kulevya au fisadi ameamua kukwepa kodi kwa mapato ambayo amepata kwenye biashara yake au pesa zilizopatikana kutokana na shughuli za kihalifu so anaamua kuwapa pesa hao mamafia then wanaenda kununua dhahabu au vito vya thamani Tanzania ,Mozambique ,Congo au Zimbabwe then wanaexport kupitia Zimbabwe then wanaenda kuuza hayo madini dubai huko then ile cash inakuwa deposited kwenye bank account ya Dewji au huyo mhusika ambaye amelenga kukwepa kodi huko Dubai au nchi nyingine then kutoka dubai kuna pesa chafu pia inaongozwa kwenye system labda ya mauzo ya madawa ya kulevya huko china au kufadhili ugaidi huku Africa then hao mamafia wanakabidhiwa hiyo pesa then hiyo pesa inaletwa huku na hao mamafia kama proceeds za mauzo ya vito na madini maana wao wanaoperate kama wafanyabishara wakubwa wa madini ila ni mamafia wanaofanya biashara ya kutakatisha pesa chafu / illicit proceeds