Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
- Thread starter
- #41
Kama watu wanaleta dili la 1.2bln usd lazima ujieleze vile kuwahakikishia kuwa una connections. Wapigania uhuru wengi ni watu wa hovyo tu. Walipiganiauhuru ili waibe badala ya mkoloni. Na bora mkoloni.It could also be smear campaign against Mnangagwa, hakuna mtu wa kazi chafu anaweza kukuelezea namna anavofanya kazi zake kwa uwazi kiasi kile tena mpo kwenye vikao watu wengi vile.
Mtu mwenye uwezo wa kutengeneza system complicated ya utakatishaji kama hizo hawezi kuji expose kijinga vile, kwanza unampata wapi?
Hawa Aljazeera wa miaka hii siwaamini.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app