Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
- Thread starter
-
- #41
Kama watu wanaleta dili la 1.2bln usd lazima ujieleze vile kuwahakikishia kuwa una connections. Wapigania uhuru wengi ni watu wa hovyo tu. Walipiganiauhuru ili waibe badala ya mkoloni. Na bora mkoloni.It could also be smear campaign against Mnangagwa, hakuna mtu wa kazi chafu anaweza kukuelezea namna anavofanya kazi zake kwa uwazi kiasi kile tena mpo kwenye vikao watu wengi vile.
Mtu mwenye uwezo wa kutengeneza system complicated ya utakatishaji kama hizo hawezi kuji expose kijinga vile, kwanza unampata wapi?
Hawa Aljazeera wa miaka hii siwaamini.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
$1.2b ama $120m? Hivi unafikiri hawa watu hua hawafanyi due diligence ya potential customers wao kabla hawajafanya nao biashara considering hua wanafuatiliwa na serikali nyingi?Kama watu wanaleta dili la 1.2bln usd lazima ujieleze vile kuwahakikishia kuwa una connections. Wapigania uhuru wengi ni watu wa hovyo tu. Walipiganiauhuru ili waibe badala ya mkoloni. Na bora mkoloni.
Due dilligence gani ya maana utafanya kwenye biashara za magendo? Unaota! Mnangagwa ni fisadi kama walivyo wengine tu.$1.2b ama $120m? Hivi unafikiri hawa watu hua hawafanyi due diligence ya potential customers wao kabla hawajafanya nao biashara considering hua wanafuatiliwa na serikali nyingi?
Mimi nasubiri mpaka wakae kikao na Mnangagwa nione.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Huna unalolijuaDue dilligence gani ya maana utafanya kwenye biashara za magendo? Unaota! Mnangagwa ni fisadi kama walivyo wengine tu.
Ahsante mkuuNenda Youtube channel ya Aljazeera utapata kwa urahisi.
BalaaaaaaDuh aiseee
Niliingalia jana aljezeera niliumia sana kuona fake pastors wamo
USSR