Kahamie UN na lubega yako. Huko UN ndio wanakosema mashoga Wana haki. NendaNchi za wenzetu na UN wanatambua na kulinda haki za indiginous na minority groups.....nyie ni kujitia ujuaji na ku apply ubabe eti watu hawana haki na ardhi bali rais ndo anamiliki ardhi nchi nzima, kama kuna watu wanasaka maslahi binafsi kwenye hili lazima liwatokee puani......muda utaongea.
Mkizidiwa hoja mnatoa povu, hopeless!!!Kahamie UN na lubega yako. Huko UN ndio wanakosema mashoga Wana haki. Nenda
Sawa maana wewe mdanganyika unamiliki ardhi kuleTafadhali wacha kudanganya watu unapata dhambi za bure.
Nchi za wenzetu na UN wanatambua na kulinda haki za indiginous na minority groups.....nyie ni kujitia ujuaji na ku apply ubabe eti watu hawana haki na ardhi bali rais ndo anamiliki ardhi nchi nzima, kama kuna watu wanasaka maslahi binafsi kwenye hili lazima liwatokee puani......muda utaongea.
Nasikia wanatuita machogoKule ngendere asiye na kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi hatakiwi hata kuwa na bustani ya mbogamboga
Uko sahihi. Wanatuita machogo, wanyamwezi, wasukuma mara wabara.Nasikia wanatuita machogo
Binadamu na wanyama pori waliishi katika pori kubwa (eneo moja) kabla ya uwepo wa vijiji na miji. Shughuli za kibinadamu ndizo zilizowafukuza wanyama.Asili yao kuishi kwenye makazi ya wanyama pori?
Mgogoro huu ni mzito kuliko mjuavyo.Tigray ilianza hiv hivii,acheni kuwaonea makabila mengine hiyo ni asili yao
Asili gani inakuruhusu kufanya upumbavu? Mbona wamasai wako mpaka Bagamoyo, ni asili yao?Tigray ilianza hiv hivii,acheni kuwaonea makabila mengine hiyo ni asili yao
Ninazungumzia Waruguru na Wazaramo waliokuwa wanaishi kwenye vijiji ambavyo vitakuwemo kwenye eneo la ujenzi wa bwawa la Kidunda.Morogoro kuna Wamang'ati siyo Wamasai bwashee!
Hakika kabisa na nawajua wengi tu wanaomiliki na hata baadhi wamenunua maeneo wamejenga makanisa.Sawa maana wewe mdanganyika unamiliki ardhi kule
Acheni kuwaonea makabila mengine hiyo ni asili yao
Mgogoro huu ni mzito kuliko mjuavyo.
Mnaowatetea wa masai hamjui mtendalo.
Kuna watu wananufaika sana kupitia mgongo wa maasai kuliko wa maasai wenyewe.
Kuna ujangili mkubwa unafanywa na matajariri kupitia maliaho ya wamaasai.
Mimi niko upande wa serikali kuwa mbuga/hifadhi isikaliwe na kabila lolote.
Watu wanafadhili wamaasai waaiondoke ili waendelee kunufaika na ujanja
Morogoro kuna Wamang'ati siyo Wamasai bwashee!
[emoji1][emoji1]Kahamie UN na lubega yako. Huko UN ndio wanakosema mashoga Wana haki. Nenda