Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Kahamie UN na lubega yako. Huko UN ndio wanakosema mashoga Wana haki. NendaNchi za wenzetu na UN wanatambua na kulinda haki za indiginous na minority groups.....nyie ni kujitia ujuaji na ku apply ubabe eti watu hawana haki na ardhi bali rais ndo anamiliki ardhi nchi nzima, kama kuna watu wanasaka maslahi binafsi kwenye hili lazima liwatokee puani......muda utaongea.