Serikali: Ardhi ya Tanzania ni mali ya Umma siyo ya Kabila moja, Katiba imemkabidhi Rais wa JMT aisimamie

Serikali: Ardhi ya Tanzania ni mali ya Umma siyo ya Kabila moja, Katiba imemkabidhi Rais wa JMT aisimamie

Nchi za wenzetu na UN wanatambua na kulinda haki za indiginous na minority groups.....nyie ni kujitia ujuaji na ku apply ubabe eti watu hawana haki na ardhi bali rais ndo anamiliki ardhi nchi nzima, kama kuna watu wanasaka maslahi binafsi kwenye hili lazima liwatokee puani......muda utaongea.
Kahamie UN na lubega yako. Huko UN ndio wanakosema mashoga Wana haki. Nenda
 
Nchi za wenzetu na UN wanatambua na kulinda haki za indiginous na minority groups.....nyie ni kujitia ujuaji na ku apply ubabe eti watu hawana haki na ardhi bali rais ndo anamiliki ardhi nchi nzima, kama kuna watu wanasaka maslahi binafsi kwenye hili lazima liwatokee puani......muda utaongea.

Haki za indigenous people zina Mipaka na Exceptions. Pale Ngorongoro haki za Wamasai juu ya Ardhi wanayoishi zina mipaka ndio maana sheria imewapa limitations kwenye uendelezaji wa makazi yao na ufanyaji wa shughuli zao za kiuchumi. Hiyo ni kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vya baadae.

Katika muktadha mpana, in longterm, wamasai hawafai kuwepo pale kwenye hifadhi kwasababu kama jamii yoyote jamii ya watu wanaoishi mbugani inakuwa kwasababu ya kuzaliana. Kadri inavyokuwa mahitaji ya eneo kwa ajili ya makazi na uzalishaji mali unaongezeka. Hii inamaana taratibu wataingia kwenye eneo la mbuga ili kukidhi mahitaji yao ya ardhi. Hilo litaathiri natutral habitat na baadhi ya ecosystems ktk hilo eneo. So ktk muktadha wa uhifadhi, in long term sio sustainable kabisa wao kuwa pale.
 
Tigray ilianza hiv hivii,acheni kuwaonea makabila mengine hiyo ni asili yao
Mgogoro huu ni mzito kuliko mjuavyo.
Mnaowatetea wa masai hamjui mtendalo.
Kuna watu wananufaika sana kupitia mgongo wa maasai kuliko wa maasai wenyewe.
Kuna ujangili mkubwa unafanywa na matajariri kupitia maliaho ya wamaasai.
Mimi niko upande wa serikali kuwa mbuga/hifadhi isikaliwe na kabila lolote.
Watu wanafadhili wamaasai waaiondoke ili waendelee kunufaika na ujangili.
Pamoja na kuunga mkono serikali...lakini taratibu za kiutu zichukuliwe hasa majadiliano na wapewe maeneo mapya kwa malisho ya mifugo yao.
 
shida wamasai hawatumii Condom wala P2, halaf mtu mmoja ana mademu 10 kila demu watoto nane. na kiuhalisia ukiacha wasukuma kabila kubwa kwa population ni wamasai
 
Mgogoro huu ni mzito kuliko mjuavyo.
Mnaowatetea wa masai hamjui mtendalo.
Kuna watu wananufaika sana kupitia mgongo wa maasai kuliko wa maasai wenyewe.
Kuna ujangili mkubwa unafanywa na matajariri kupitia maliaho ya wamaasai.
Mimi niko upande wa serikali kuwa mbuga/hifadhi isikaliwe na kabila lolote.
Watu wanafadhili wamaasai waaiondoke ili waendelee kunufaika na ujanja

Funguka zaidi.
 
Nchi ambayo waziri anayedai kuwa na PhD anasimama adharani akasema ardhi ni mali ya rais
Nchi ambayo kiongozi mkuu wa chama anasimama na kusema rais atamsamehe Mbowe kawa kesi iliyo mahakamani andapo atakuwa mnyenyekevu
Nchi ambayo watu wake wanakufa kwa kukosa pesa za panadol na wakishakufa maiti zao zinazuiliwa lakini waziri anaibuka na kuchagua kuwa mgonjwa huyu atalipiwa na serikali na sio yule bila kutwambia inatoka bajeti ipi
Nchi ambayo matokeo yake ya uchaguzi yakichatangazwa na tume iliyoteuliwa na mchaguliwa hakuna mtu wala chombo kinaweza kuhoji hata pale walipoonekana watu wakibeba mabox ya kura na kuyarudisha yakiwa yamejazwa kura.
Nchi ambayo spika asiyejua uchumi akitilia shaka mlolongo wa madeni na kuomba ufafanuzi kwa wachumi grade A anaamrishwa kuachia ngazzi kwa huhoji hayo.

Tukubaliane tu na CAG wa zamani kuwa haya madudu yote yamepelekea wafanyakazi waliomo kwenye mfumo wa umma kila 10 basi 6 kati yao uwezo wao kama sio sifuri basi ni chini ta 10 kwa 100.
 
Back
Top Bottom