Serikali: Ardhi ya Tanzania ni mali ya Umma siyo ya Kabila moja, Katiba imemkabidhi Rais wa JMT aisimamie

Waseme tu ukweli kwamba wanataka kuuza kwa ajili ya uwindaji. Wanyama wetu watamalizwa baada ya sisi kuondolewa. Tutatolewa kwa nguvu kwa sababu wameshaamua.
 
Waseme tu ukweli kwamba wanataka kuuza kwa ajili ya uwindaji. Wanyama wetu watamalizwa baada ya sisi kuondolewa. Tutatolewa kwa nguvu kwa sababu wameshaamua.
Waarabu wameshatoa hela kinachofuata ni kilio kwa wamasai ila precedent wanayoweka ni mbaya sana.
 
Laki tatu mpaka kufikia milioni na ushee je wanya'ma wataishi namna ipi? Tembo wakifika mjini mnaanza lawama.
 
Laki tatu mpaka kufikia milioni na ushee je wanya'ma wataishi namna ipi? Tembo wakifika mjini mnaanza lawama.
Soma tena ulichoandika kama utaweza kuweka vizuri tukuelewe.
 
Suluhisho ni kujenga ukuta eneo husika kama walivyo fanya melelani,baaasi hizi nyingine ni siasa za kick
 
HAPANA.
 
Acha kuingiza watu chaka, baada ya hoja kujengwa kuhusu haki za aboriginals mfano wale wa Australia, haki zao zinathaminiwa sana kwa sasa na hata ardhi yao walirudishiwa na wanatambuliwa kwenye matukio yote makubwa na hata hualikwa kutumbuiza.......na vilevile wanazo fursa za upendeleo.
 
Ndio maana Katiba inatakiwa ipatikane mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…