Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwenyewe hapo unapoishi yalikuwa makazi ya wanyama pori.Asili yao kuishi kwenye makazi ya wanyama pori?
Waarabu wameshatoa hela kinachofuata ni kilio kwa wamasai ila precedent wanayoweka ni mbaya sana.Waseme tu ukweli kwamba wanataka kuuza kwa ajili ya uwindaji. Wanyama wetu watamalizwa baada ya sisi kuondolewa. Tutatolewa kwa nguvu kwa sababu wameshaamua.
Soma tena ulichoandika kama utaweza kuweka vizuri tukuelewe.Laki tatu mpaka kufikia milioni na ushee je wanya'ma wataishi namna ipi? Tembo wakifika mjini mnaanza lawama.
Mbona wamesambaa nchi nzima! Wapungue ngorongoroTigray ilianza hiv hivii,acheni kuwaonea makabila mengine hiyo ni asili yao
HAPANA.Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Damas Ndumbaro ametoa kauli ya serikali kuhusiana na mgogoro wa Ngorongoro. Dr Ndumbaro amesema ardhi ni mali ya Umma wa watanzania siyo mali ya kabila fulani na katiba ya JMT imempa Rais madaraka ya kuisimamia, kuiendeleza na kulipa fidia panapohitajika.
Ndumbaro amesema kwa sasa mkuu wa mkoa wa Arusha yuko kwenye majadiliano na mailagwanani wa kabila la Wamasai na akikamilisha ndipo tume ya serikali itakwenda na kuandaa ripoti ambayo itakabidhiwa bungeni.
Chanzo: ITV
Asili isiyo na faida ni bora ikafutiliwa mbaliTigray ilianza hiv hivii,acheni kuwaonea makabila mengine hiyo ni asili yao
Acha kuingiza watu chaka, baada ya hoja kujengwa kuhusu haki za aboriginals mfano wale wa Australia, haki zao zinathaminiwa sana kwa sasa na hata ardhi yao walirudishiwa na wanatambuliwa kwenye matukio yote makubwa na hata hualikwa kutumbuiza.......na vilevile wanazo fursa za upendeleo.Nchi za wenzetu zipi. Unajua walipo Red Indians kule Marekani? Vipi kuhusu aboriginal people of Australia wako wapi? Kwanini wanaharakati wasianzie uko
Hii dunia haitaki makasiriko wale watu walikuwa wanakaa porini wanapinga reli zisipite, airports wasingeruhusu zijengwe, viwanda wala machimbo ya madini. Huwezi mwambia mzungu upuuzi kama huo. Walihama tu
Hata Uingereza yenyewe ilihamisha thugs na ikawapeleka Australia na ndio mwanzo wa ile nchi kuwepo. Sasa hawa badala ya wapambane kupata sehemu ya kuhamia wanaleta habari za Middle Stone Age!
Si ni( jaji mkuu tanzania?)Unaelewa maana ya JMT!