Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Wenzetu wanajua kutetea haki zao, hawakubali kuburuzwa na kuonewa na serikali. Watanzania wamebakia kusema wamasai wafukuzwe kama makabila mengine yalivyofukuzwa. Mawazo ya kijamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka wawatoe wamasai ili waiuze kwa mabwanyenye wa kiarabu,,,,.Nchi za wenzetu na UN wanatambua na kulinda haki za indiginous na minority groups.....nyie ni kujitia ujuaji na ku apply ubabe eti watu hawana haki na ardhi bali rais ndo anamiliki ardhi nchi nzima, kama kuna watu wanasaka maslahi binafsi kwenye hili lazima liwatokee puani......muda utaongea.
Kwanini tusiwahamishe wakojani na wangazija wa Pemba ili kulinda ecosystem ya kisiwa cha watalii??Haki za indigenous people zina Mipaka na Exceptions. Pale Ngorongoro haki za Wamasai juu ya Ardhi wanayoishi zina mipaka ndio maana sheria imewapa limitations kwenye uendelezaji wa makazi yao na ufanyaji wa shughuli zao za kiuchumi. Hiyo ni kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vya baadae.
Katika muktadha mpana, in longterm, wamasai hawafai kuwepo pale kwenye hifadhi kwasababu kama jamii yoyote jamii ya watu wanaoishi mbugani inakuwa kwasababu ya kuzaliana. Kadri inavyokuwa mahitaji ya eneo kwa ajili ya makazi na uzalishaji mali unaongezeka. Hii inamaana taratibu wataingia kwenye eneo la mbuga ili kukidhi mahitaji yao ya ardhi. Hilo litaathiri natutral habitat na baadhi ya ecosystems ktk hilo eneo. So ktk muktadha wa uhifadhi, in long term sio sustainable kabisa wao kuwa pale.
Kwahiyo kwa Akili yako unaona haki za Binadamu zina mipaka ila haki za wanyama hazina mipaka na hapo umesomeshwa kwa Kodi za wananchi.Haki za indigenous people zina Mipaka na Exceptions. Pale Ngorongoro haki za Wamasai juu ya Ardhi wanayoishi zina mipaka ndio maana sheria imewapa limitations kwenye uendelezaji wa makazi yao na ufanyaji wa shughuli zao za kiuchumi. Hiyo ni kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vya baadae.
Katika muktadha mpana, in longterm, wamasai hawafai kuwepo pale kwenye hifadhi kwasababu kama jamii yoyote jamii ya watu wanaoishi mbugani inakuwa kwasababu ya kuzaliana. Kadri inavyokuwa mahitaji ya eneo kwa ajili ya makazi na uzalishaji mali unaongezeka. Hii inamaana taratibu wataingia kwenye eneo la mbuga ili kukidhi mahitaji yao ya ardhi. Hilo litaathiri natutral habitat na baadhi ya ecosystems ktk hilo eneo. So ktk muktadha wa uhifadhi, in long term sio sustainable kabisa wao kuwa pale.
Na hili huwa linaniuma Sana. Sielewi kwa Nini wao wakija huku ni watz, Ila Mimi nikienda kwao Sina tofauti na mkenyaIla ile ya kule Unguja ni ya wale wenzetu sio mali ya umma?
Uonevu hauozi. Ni akiba.Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Damas Ndumbaro ametoa kauli ya serikali kuhusiana na mgogoro wa Ngorongoro. Dr Ndumbaro amesema ardhi ni mali ya Umma wa watanzania siyo mali ya kabila fulani na katiba ya JMT imempa Rais madaraka ya kuisimamia, kuiendeleza na kulipa fidia panapohitajika.
Ndumbaro amesema kwa sasa mkuu wa mkoa wa Arusha yuko kwenye majadiliano na mailagwanani wa kabila la Wamasai na akikamilisha ndipo tume ya serikali itakwenda na kuandaa ripoti ambayo itakabidhiwa bungeni.
Chanzo: ITV
Akili za kipumbavu usilete kwenye hoja ya msingi.Tigray ilianza hiv hivii,acheni kuwaonea makabila mengine hiyo ni asili yao
Huyu naye ni Vuvuzela. Hakuna mtu anayeitetea ardhi kwa sababu ni mmaasai. Watu wanatetea ardhi wanayoishi.Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Damas Ndumbaro ametoa kauli ya serikali kuhusiana na mgogoro wa Ngorongoro. Dr Ndumbaro amesema ardhi ni mali ya Umma wa watanzania siyo mali ya kabila fulani na katiba ya JMT imempa Rais madaraka ya kuisimamia, kuiendeleza na kulipa fidia panapohitajika.
Ndumbaro amesema kwa sasa mkuu wa mkoa wa Arusha yuko kwenye majadiliano na mailagwanani wa kabila la Wamasai na akikamilisha ndipo tume ya serikali itakwenda na kuandaa ripoti ambayo itakabidhiwa bungeni.
Chanzo: ITV
Hakuna kabila limetokea mjini wewe KENGE.Wamasai wameishi maporini zaidi ya miaka 1000. They part of nature.
Au tumuulize wale wanopakana na mbuga kama serengeti, mikumi, selous, manyara wao hawazaliani na kuingilia ecosystem ya mbuga hizo........au kuzaliana kupo kwa wamasai pekee, inashindikana nini ku limit eneo ambalo masai wanatakiwa wasiingie zaidi kwenye eneo la hifadhi kwa kuweka mipaka badala ya kuwaondoa wote kwenye eneo ambalo wameweka makazi kwa miaka mingi huku wakiendelea kudumisha mila na tamaduni na kuongeza chachu ya utalii.Kwanini tusiwahamishe wakojani na wangazija wa Pemba ili kulinda ecosystem ya kisiwa cha watalii??
Matusi ndio hoja. Kwanini unataka kuongea na KENGE.Hakuna kabila limetokea mjini wewe KENGE.
Bwanyenye ndiyo nani?Wanataka wawatoe wamasai ili waiuze kwa mabwanyenye wa kiarabu,,,,.
Wote mababu wa mababu wa mababu zetu walikuwa wanaishi porini, kuondoka porini au kubaki huko porini haitakiwi kupangiwaAsili yao kuishi kwenye makazi ya wanyama pori?
Nchi za wenzetu zipi. Unajua walipo Red Indians kule Marekani? Vipi kuhusu aboriginal people of Australia wako wapi? Kwanini wanaharakati wasianzie ukoNchi za wenzetu na UN wanatambua na kulinda haki za indiginous na minority groups.....nyie ni kujitia ujuaji na ku apply ubabe eti watu hawana haki na ardhi bali rais ndo anamiliki ardhi nchi nzima, kama kuna watu wanasaka maslahi binafsi kwenye hili lazima liwatokee puani......muda utaongea.
Au mashoga wa kizunguWanataka wawatoe wamasai ili waiuze kwa mabwanyenye wa kiarabu,,,,.