Kaburini ChatoOfisi za Umoja Party ziko wapi?
Magufuli alichaguliwa na wananchi wa Tanzania.Kasoro ww ndio hukumchaguskwani magufuli kachaguliwa na nani na kwa uchaguzi gani wacheni utani bora huyu aliyewekwa kwa uwezo wa mungu kuliko magufuli aliyeuwa na kutesa ili aingie madarakani.
Mawazo ya Kinyonge sana haya,Siku ni 30 zilezile, Hakuna kitu kinaitwa mshahara kuwahi.
Hata ukilipwa tarehe 15 ya kila mwezi na mwingine akilipwa tarehe 30 kila mwezi , wote mmelipwa sawa Hakuna aliyewahi Wala kuchelewa
Naona tangu umeachwa yatima na jiwe siku hizi masharubu yako yamefifia kama jua la jioni.Trh 22 mpaka trh 22 ni mwezi mmoja na trh 27 mpaka trh 27 ni mwezi. Btw UMOJA party moja ya sera zetu ni kulipa mishahara mitatu trh 1, trh 10 na trh 25. the ends must meet by any means
[emoji123][emoji123]Kutoka tarehe 27 ya mwezi wa tatu mpaka tarehe 27 ya mwezi wa nne ni siku 30.
Kutoka tarehe 22 na mwezi wa watu mpaka tarehe 22 ya mwezi wa nne ni siku 30.
Kujali watumishi sio kupunguza namba za tarehe bali ni kuongeza namba za mmshahara
Ingekuwa ina logic endapo kila mwezi anapunguza siku tatu katika kulipa mshaharaa
Yaani mwezi wa kwanza amelipa tar 23
Mwezi wa pili analipa tar 20
Mwezi wa tatu analipa tar 17
Mwezi wa nne analipa tar 14 kama hivyo yani,kinyume na hapo nothing new.
Hoja si kulipa mshahara tarehe ya mapema zaidi; bali kulipa mshahara siku iliyopangwa. Nilipokuwa mtumishi wa serikali miaka ya 70/80 siku ya mshahara ilikuwa tarehe 25. Siku hiyo ilikuwa haipiti bila mfanyakazi kulipwa. Wafanyakazi wa East African Community walikuwa wakilipwa siku ya mwisho ya mwezi: kwa mfano tarehe 28 Februari; tarehe 31 Marchi; na tarehe 30 Aprili. Nao mishahara yao ilikuwa haikawizwi kufikia tarehe 1 ya mwezi unaofuata. Kutopitisha siku iliyopangwa ndiko kwa kusifia.Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.
Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru.
Hakika anajali watumishi wa umma.
Viva mama SSH, nchi iko mikono salama.
Kazi inaendelea.
Eeeehh mama ajenga nchi....eeehh mama ajenga nchi *3
Afanye hivi tarehe 15/ya mwezi alipe advance ya 50% na mwisho wa mwezi 30/mwezi alipe salio.ikumbukwe akilipa tarehe 30 Hadi 30 ya mwezi unaofuata ni siku 30,tunataka increment,top up,bonus,promotion ,Kutoka tarehe 27 ya mwezi wa tatu mpaka tarehe 27 ya mwezi wa nne ni siku 30.
Kutoka tarehe 22 na mwezi wa watu mpaka tarehe 22 ya mwezi wa nne ni siku 30.
Kujali watumishi sio kupunguza namba za tarehe bali ni kuongeza namba za mmshahara
Ingekuwa ina logic endapo kila mwezi anapunguza siku tatu katika kulipa mshaharaa
Yaani mwezi wa kwanza amelipa tar 23
Mwezi wa pili analipa tar 20
Mwezi wa tatu analipa tar 17
Mwezi wa nne analipa tar 14 kama hivyo yani,kinyume na hapo nothing new.
Nyie mchokozeni mkilipwa tarehe 38 ndipo mtaelewa. Vita Ukraine havijaisha.Siku ni 30 zilezile, Hakuna kitu kinaitwa mshahara kuwahi.
Hata ukilipwa tarehe 15 ya kila mwezi na mwingine akilipwa tarehe 30 kila mwezi , wote mmelipwa sawa Hakuna aliyewahi Wala kuchelewa
Kama unakumbuka vizuri, Mwamba Magufuli aliwahi kulipa mishahara tarehe 19.Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.
Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru.
Hakika anajali watumishi wa umma.
Viva mama SSH, nchi iko mikono salama.
Kazi inaendelea.
Eeeehh mama ajenga nchi....eeehh mama ajenga nchi *3
Hamna kitu kama hicho, labda alikuwa analipa wakandarasi wa kichina kwa wakati pamoja na kampuni ya mayanga, kwa upande wa kampuni ya mayanga,alikuwa anawapigia mameneja wa tanroad moja kwa moja kuwauliza kwa nini hawajailipa mayangaKama unakumbuka vizuri, Mwamba Magufuli aliwahi kulipa mishahara tarehe 19.
Kaa na ujuha wako. Na kwa taarifa yako, data ziko wazi, hakuna mwezi Mwamba Magufuli alilipa mshahara tarehe 25. HAKUNA! Ila sasa hivi Kuna hofu miongoni mwetu watumishi kwamba, zikiisha pesa alizokuwa amekusanya Mwamba Magufuli tutaanza kulipwa tarehe 40! Na hiyo haipo mbali!Hamna kitu kama hicho, labda alikuwa analipa wakandarasi wa kichina kwa wakati pamoja na kampuni ya mayanga, kwa upande wa kampuni ya mayanga,alikuwa anawapigia mameneja wa tanroad moja kwa moja kuwauliza kwa nini hawajailipa mayanga
Mkuu mimi nina matumaini na mama samia kuliko maelezo kwa sababu naamini ni mtu mwema tuMwezi wa saba utacheka, chapa kazi, mama anapandisha maslahi ya watumishi. Kazi iendelee
Hili nalo Lina maana gani wakati kutoka tarehe 22 hadi tarehe 22 ni siku 30 sawa tuu na anaelipa tarehe 30 ya kila mwisho wa mwezi?Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.
Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru.
Hakika anajali watumishi wa umma.
Viva mama SSH, nchi iko mikono salama.
Kazi inaendelea.
Eeeehh mama ajenga nchi....eeehh mama ajenga nchi *3
Mimi Nipo Sina kila KituHumu nimm tu jobless au Kuna wengine??. Jamii forum kila mtu ni msomi na ana Gari pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.
Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru.
Hakika anajali watumishi wa umma.
Viva mama SSH, nchi iko mikono salama.
Kazi inaendelea.
Eeeehh mama ajenga nchi....eeehh mama ajenga nchi *3
Nilikwambia na narudia tena, tafuta jamaa wa kutoka Mara (wajita) wakupe maana ya avatar name yako, vinginevyo utaendelea kuandika utumbo mpaka siku unafunguka akili.Mkuu, nchi iliharibiwa sana na JPM, mama anaisuka, Tulia, safari ya kaanani iko asilimia 80