Serikali awamu ya Tano na dhana ya kuishi kwa uongo uongo

Serikali awamu ya Tano na dhana ya kuishi kwa uongo uongo

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Mwaka 2018 TCCL Walitoa gawio la 1.5 bilion na 2019 2..1 bilion kwa serikali na nakumbuka ilikuwa Ikulu wakasifiwa sana kwa kutengeneza faida. Report ya CAG imewaumbua baada ya kuwaanika TCCL wanajiendesha kwa hasara na wameingia mikataba ya kimangungo inayolinyonya shirika.

Hii inaonyesha zile sifa zilikuwa ni uongo na alikuwa anajua anachokifanya ila aliamua kuuadaa umma wa watanzania ili apigiwe mapambia.

Unaweza kuona ni jinsi gani serikali yetu inavyoua mashirika na Magufuli anavyo force mambo wakati uhalisia hakuna mashirika yapo hoi iweje yatoe gawio? kuna shida kubwa ya uongo uongo kwenye utawala wa Magufuli.
 
Hivi hiyo TCCL inahusika na nini?

Hivi mbona hawa majamaa wa awamu ya tano inaonekana wanakula hela sana?
 
Back
Top Bottom