YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
- Thread starter
- #41
Sidhani hata kama ile kauli kutolewa haikuwacsahihi kabisa"Hakuna mwenye misuli ya kuyumbisha nchi". Jibu lake lipo hapo.
Angetoa tu mrejesho kuwa serikali imefikia wapi kwenye mapendekezo ya wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini au hata angesema tu tunaendelea kupokea mapendekezo na uchambuzi wa kina unaendelea chini ya wataalamu wetu na wewe baba askofu na wenzio mtuletee tuyafanyie kazi.kama kuna mapendekezo mlisahau kwenye yale mlituletea nk mpeni Baba Askofu atuletee yajumuishwe
Ile lugha aliyotumia Raisi ilikuwa chini ya kiwango haikuhitajika kabisa.