KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
Waarabu wameizuia wanataka chao🤣🤣🤣Imeuzwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu wameizuia wanataka chao🤣🤣🤣Imeuzwa.
Ukivaa kanzu marekani au Uingereza unafatiliwa wanajua unataka kulipua mahali🤣🤣🤣[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Kumbe unawachukia waarabu...
Wenzako wazungu pamoja na tofauti na hao watu bado hawakuzuia wasiandae fainali za kombe la dunia kule Qatar....
Dunia hii ni ya makubaliano kibiashara....
Eti kwa kuwa mimi mnyakyusa ninazichukia kanzu za waarabu ilihali babu yangu mchungaji Anyigulile Kyala kila misa anazivaa pale Moravian Matema Kyela ,nisitake Tanzania tupate TRILIONI 26 zaidi ya nusu ya bajeti ya juzi ya fiscal year(trilioni 44)[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli chuki ni ugonjwa wa akili....haya unaye MVAA SUTI aliye na "offer" yenye "kitambi" cha TRILIONI 80?!!! [emoji1787]
Rais anatumia mawaziri na wanasheria na ndio maana ya serikali. Ni taasisi pana sio mtu mmoja tu.Sidhani hata kama ile kauli kutolewa haikuwacsahihi kabisa
Angetoa tu mrejesho kuwa serikali imefikia wapi kwenye mapendekezo ya wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini au hata angesema tu tunaendelea kupokea mapendekezo na uchambuzi wa kina unaendelea chini ya wataalamu wetu na wewe baba askofu na wenzio mtuletee tuyafanyie kazi.kama kuna mapendekezo mlisahau kwenye yale mlituletea nk mpeni Baba Askofu atuletee yajumuishwe
Ile lugha aliyotumia Raisi ilikuwa chini ya kiwango haikuhitajika kabisa.
Ina maana sukuma gang wamekuja kwa kivuli cha tecno?Sukuma gang kazini
Sasa hapo kamaanisha kakubali au kakataa ushauri ..?Nimekuelewa na nimerekebisha. Mama kishasema:
"Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na usalama kwenye taifa letu."
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya
Miaka 60 ya KKKT.
Unalo jipya au bado hilohilo?
Majibu kwa raia instolewa wapiKwani serikali inawajibika kwa viongozi wa dini au kwa raia, inawapa je majibu kwani hao ni muhimili?
Wanafata nini makanisani namisikitini kama hawawajibiki huko? dini niimani zawananchi na serikali niyawananchi bado unadhani haiwajibiki kwao? Umewahi jiuliza kwanini Rais muisilamu anaingia kanisani au Rais mkristo kuingia msikitini? wanaenda kwa wananchi waliompa mamlaka yakuongoza haendi kuongoza ibada,,Kwani serikali inawajibika kwa viongozi wa dini au kwa raia, inawapa je majibu kwani hao ni muhimili?
Wapo kimkakati sana inabidi uwe umesomea Cuba kuwajuaIna maana sukuma gang wamekuja kwa kivuli cha tecno?
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Naye ni mwananchi piaMkataba ni Mali ya wananchi na Sio Mali ya rais, raisi ni mpitaji