Sidhani hata kama ile kauli kutolewa haikuwacsahihi kabisa"Hakuna mwenye misuli ya kuyumbisha nchi". Jibu lake lipo hapo.
Imeuzwa.Sio sukuma gang, leteni majibu wapi ilipo ndege yetu tuliyonunua Kwa ajili ya Rais
Wajinga walishaisha boss, uoga ndio bado umetamalaki. Hivyo hakuna wa kuchomekewa.Mtaelewa tu kwa kuona .maendeleo hayajifichi
Mtamuuzia nani? Hiyo imekamatwa ili tapeli arudishe fedha zao. Alidhani atapitisha kwa mabavu kama walivyozoea.Imeuzwa.
Mwambie Msigwa ajitokeze atueleze hao wengi sisi hatueajui na wala hatuna uhakikanao kama wanakula kodi zetu.Kabla ya hapo nyinyi mnaotoa hizo allegations toani uhakika wa hizo habari kama ni kweli ndege ya serikali imekamatwa.
Tulia wewe kamanda wa UfipaWajinga walishaisha boss, uoga ndio bado umetamalaki. Hivyo hakuna wa kuchomekewa.
Sawa boss.Tulia wewe kamanda wa Ufipa
KabisaaaSintofahamu inayoendelea sasa hivi Issue ya Dp World ilitakuwa kuwa solved kidogo tu
Viongozi wa serikali walikutana na viongozi wa dini kuhusu hilo swala Wakaeleza kutoridhikia na wakatoa maoni yao na kusihi serikali na bunge waangalie ushauri wao wawape mrejesho
Matokeo serikali na bunge wakakaa kimya no feedback na badala yake moto unawashwa ohh viongozi wa dini waache siasa na vitisho kibao
Hilo sio afya kwa taifa.Serikali International mrejesho wa walipofikia kulikuwa na shida gani? Hata huo waraka wa maaskofu usingetoka na maskofu wangefanya kazi kuelimisha waumini wao hatua serikali au bunge wamechukua kurekebisha kasoro
Lakini hii foka foka ya viongozi wa Serikali na bunge si afya sana kwa taifa
Hoja zijibiwe kwa hoja. Wananchi wakitaka feedback wapewe
Na kukaa kimya sio sahihi ni sawa na kusema bora liende
Sukuma gang kazini
Wazanzibar kwa kudemka hamjamboNimekueleaa na nimerekebisha. Mama kishasema:
"Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na usalama kwenye taifa letu."
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya
Miaka 60 ya KKKT.
Unalo jipya au bado hilohilo?
Niliamuwa kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya. - Mama Samia.Wazanzibar kwa kudemka hamjambo
Huyo Fayza Fox siyo mzanzibar bali ni mzaramo wa mwenerumangoWazanzibar kwa kudemka hamjambo
Unaelewa maana ya kunyamaza kimya lakini??Niliamuwa kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya. - Mama Samia.
Elewa wewe inatosha.Unaelewa maana ya kunyamaza kimya lakini??
Tuliza mshono wewe mzaramoElewa wewe inatosha.
Bandari ni ya watanzania wote na siyo viongozi wa dini pekee, walipaswa kutoa mrejesho kwa watanzania.Sintofahamu inayoendelea sasa hivi Issue ya Dp World ilitakuwa kuwa solved kidogo tu.
Viongozi wa serikali walikutana na viongozi wa dini kuhusu hilo swala Wakaeleza kutoridhikia na wakatoa maoni yao na kusihi serikali na bunge waangalie ushauri wao wawape mrejesho.
Matokeo serikali na bunge wakakaa kimya no feedback na badala yake moto unawashwa ohh viongozi wa dini waache siasa na vitisho kibao.
Hilo sio afya kwa taifa. Serikali International mrejesho wa walipofikia kulikuwa na shida gani? Hata huo waraka wa maaskofu usingetoka na maskofu wangefanya kazi kuelimisha waumini wao hatua serikali au bunge wamechukua kurekebisha kasoro.
Lakini hii foka foka ya viongozi wa Serikali na bunge si afya sana kwa taifa.
Hoja zijibiwe kwa hoja. Wananchi wakitaka feedback wapewe.
Na kukaa kimya sio sahihi ni sawa na kusema bora liende.
Sio kila mtu aweza wasilisha maoni.yake kwa wabunge ambao kutwa hawawasiliani na wapiga kura kwenye maamuzi ya mambo mazito kama hili la DP WorldBandari ni ya watanzania wote na siyo viongozi wa dini pekee, walipaswa kutoa mrejesho kwa watanzania.
Hakuna bunge lile ni kusanyiko la mashetani tupuSio kila mtu aweza wasilisha maoni.yake kwa wabunge ambao kutwa hawawasiliani na wapiga kura kwenye maamuzi ya mambo mazito kama hili la DP World
Wabunge wapuuzi hawakuomba maoni ya wapiga kura wao kabla kutoa maamuzi
Walimuwakikisha nani kutoa maamuzi?
Kabla kutoa uamuzi mbunge gani Ali consult wapiga kura wake na kuwapa huo mkataba? Wausome? Serikali imechemka na bunge like heka ndio maana wananchi wakakimbilia kwa Viongozi wa dini kuwa tusaidieni nyie kupiga yowe.Hatuna mtu wa kusikia sauti zetu awe Serikali, bunge au mahakama
Viongozi wa dini hawajaibuka tu.Wao hawapigiwi kura na wananchi lakini ni viongozi wao wa wananchi wenye vyama vyote vya siasa chama tawala na Upinzani na wasio na vyama
Mlitaka wananchi waende wapi wakati.bunge jeuri,Serikali jeuri na mahakama jeuri?
Kimbilio lao wananchi wakakimbilia kwa Viongozi wa dini sababu mihimili yote imeamua kutosikiliza kilio cha wananchi na kuwa jeuri ya kukataa kubadili vipengele hovyo kwenye mkataba
Wananchi hawapingi uwekezaji wanapinga vipengele hovyo kwenye mkataba.Nini hasa mnataka? Mlitaka wananchi waende wapi wakati mihimili yote mumeamua kuwadhibiti
Mnataka wananchi wafanyaje labda? Ili msikie kilio chao?
Wasaidiwe serikali kujibu swali la ndeve ya Rais iliko, usizuge zuge kupotezea.Serikali hairipoti kwa viongozi wa dini. Kumbuka hilo.
Serikali imeshaelezea kuhusu bandari vyakutosha, hatuoni sababu ya serikali kuendelea kujibizana na wajinga.
Sisi tubishane hapa JF, yesha. Ujinga wetu hapa ubaki hapahapa.
Imeshikwa.Wasaidiwe serikali kujibu swali la ndeve ya Rais iliko, usizuge zuge kupotezea.