Gentleman,Maandamano yamefanyika tayari na kwa mafanikio makubwa huku serikali ikisambaza vyombo vya ulinzi kuyazuia!
Ni vizuri serikali ikatambua kuwa maandamano siku hizi hayamaanishi watu kukusanyika mitaani.
Ni vizuri watawala wakatatua kero za wananchi kuliko kutumia nguvu nyingi kuzuia maandamano.
Ila hao wapambanaji kupitia keyboards wana akili sana.Wamewafanya watu wazima wanaojinasibu kwamba wana uelewa mpana kufanya vituko na kuhenyeshwa kwa kupambana na upepo.Akili kichwani.Mnasumbua watu nyie keyboard fighter
Wewe ni JUHA kweli ,sasa Shughuli za kiuchumi zimesimama ,serikali imepoteza mapato ya kutosha then wewe unashangilia maandamano hakuna ,sasa hii itaenda hadi SAMUYA atoke madarakani.Gentleman,
kwamwe magaidi na majambazi hawataruhusiwa kuleta ghasia, vurugu, uharibifu au maafa nchini kwa mgongo wa maandamano haramu 🐒
Wanaoumia na kuathirika na hali kama hii ni watu Masikini na sio hao wanasiasaIla hao wapambanaji kupitia keyboards wana akili sana.Wamewafanya watu wazima wanaojinasibu kwamba wana uelewa mpana kufanya vituko na kuhenyeshwa kwa kupambana na upepo.Akili kichwani.
Kamq ni issue ya kupoteza mapato, pande zote zinapoteza. Usiangalie upande mmoja.Wewe ni JUHA kweli ,sasa Shughuli za kiuchumi zimesimama ,serikali imepoteza mapato ya kutosha then wewe unashangilia maandamano hakuna ,sasa hii itaenda hadi SAMUYA atoke madarakani.
Serikali ikipoteza mapato inayeathirika ni nani Rais au wewe MTU wa kawaida ambaye upo ktk survival mode?Wewe ni JUHA kweli ,sasa Shughuli za kiuchumi zimesimama ,serikali imepoteza mapato ya kutosha then wewe unashangilia maandamano hakuna ,sasa hii itaenda hadi SAMUYA atoke madarakani.
Changamoto yako umejijengea picha unayoitaka na kupenda tu kichwani mwako kwamba hao wapambanaji/na watu masikini(sijui uliwahesabu au ulishiriki kupata nao shida?) ndiyo hupata shida.Unawakadiria wote ni masikini na hawana akili ya kujimudu?Wanaoumia na kuathirika na hali kama hii ni watu Masikini na sio hao wanasiasa
Tumia akili iwe CCM au CDM wote Hawa Wana ugomvi wa mkate and nothing else
Wewe keyboard fighter wa JF unakuwa haujitambui unapojaribu ku push ajenda ambazo hauna maslahi nazo ila wenye maslahi ndo hao wanasiasa wa vyama vyote
That's factMimi bado naamini wanaochochea hisia za watu kuandamana wapo kwenye mfumo na wanafanya hivyo makusudi ili kujipata pesa kilaini isiyo na Querry kwa Mkaguzi wa hesabu za Serikali.
Vijana wengine nao kama nyumbu wanatumika kuwasaidia watu kula pesa bila kujua.
Changamoto yako umejijengea picha unayoitaka na kupenda tu kichwani mwako kwamba hao wapambanaji/na watu masikini(sijui uliwahesabu au ulishiriki kupata nao shida?) ndiyo hupata shida.Unawakadiria wote ni masikini na hawana akili ya kujimudu?
Ila tukubali zama zimebadilka sana,Gen Z wanakaa kwenye keyboard wazee wanakimbia kutoa magari makubwa ya jeshi wanahangaika barabarani inashangazaMnasumbua watu nyie keyboard fighter
Wewe nawe ni JUHA ,serikali kwani ni nani? Si mimi ,wewe na wananchi wengine? Samuya mwajiriwa kama wewe unalivyoajiriwa....Hata huyo samuya naye yupo kwenye survival mode ndiyo maana anang'ang'ania madaraka apate kipato ,hajajipanga kuachia...Mwanasiasa ni njaa njaa ndiyo maana wakitoka madarakani wanapauka.Serikali ikipoteza mapato inayeathirika ni nani Rais au wewe MTU wa kawaida ambaye upo ktk survival mode?
Hilo chizi yaani halijielewi ,lengo la wahamasishaji ni iwe hivi hivi kuwakeep busy ,leo shughuli za uchumi zimesimama halafu jamaa linashangilia kama ZUZU.Ila tukubali zama zimebadilka sana,Gen Z wanakaa kwenye keyboard wazee wanakimbia kutoa magari makubwa ya jeshi wanahangaika barabarani inashangaza
Serikali inapoteza mapato yanayotolewa na nani?Mapato yakishuka hiyo serikali itahudumia jamii kwa kutumia nini wakati mtoa mapato amebaki nayo mfukoni mwake? Reason,nani anakwama?Serikali ikipoteza mapato inayeathirika ni nani Rais au wewe MTU wa kawaida ambaye upo ktk survival mode?
Sio kupauka tu bro,wanasiasa walitoka madarakani wanafariki kabisa!Wewe nawe ni JUHA ,serikali kwani ni nani? Si mimi ,wewe na wananchi wengine? Samuya mwajiriwa kama wewe unalivyoajiriwa....Hata huyo samuya naye yupo kwenye survival mode ndiyo maana anang'ang'ania madaraka apate kipato ,hajajipanga kuachia...Mwanasiasa ni njaa njaa ndiyo maana wakitoka madarakani wanapauka.