Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

Bwana mkubwa, maandamano unayajua au unayasikia?...Uwe unatumia akili badala ya makalio
We usikurupuke, soma na utafakari. Maandamano yalikuwa ya mtandaoni tu maana hakuna barua iliyowasilishwa, hii ilitosha kwa watawala na polisi kufikiri nje ya box lengo halisi la maandamano hayo na hususani ktk siku muhimu ya kiuchumi kama leo.

Baada ya kupata malengo sahihi ya maandamano hayo polisi na wizara walipaswa kutumia weledi mkubwa kuepusha madhara haya ya kiuchumi na kijamii ambayo ndilo lilikuwa lengo la waandamanaji wa mtandaoni.

Badala ya kutumia weledi, vyombo vya dola, wizara na wanasiasa wamejikuta wakiyatangaza na kusababisha madhara kwa watu kutoshiriki vizuri shughuli za kijamii na kiuchumi (biashara) huko sabasaba, kariakoo soko lakimataifa na nchi nzima taifa tukipata hasara kubwa ya kiuchumi na kisaikolojia (hofu).
 
Shida ya serikali haioneshi kuguswa na utekaji Hilo ndio kosa waliofanya kukaa kwao kimya ndio kumetengeneza maswali juu yao we imagine Polepole amekuwa ni public figure kwa Serikali kwa kipindi kirefu na mpaka kushika nyadhifa nyingi serikali inakuaje anatekwa alafu serikali na Chama chake kinakaa kimya inatengenezeka taswira gani?
Kama sio kukaa kimya wangefanyaje?. Wangezuga kwamba wanamtafuta Pole pole and the like?. Watu wangekuwa wanadai ripoti ya kinachoendelea,je,wangekuwa wanatoa majibu gani?
 
hapajawahi kua na waandamanaji Tanzania kwa miaka ya Hivi karibuni bali ni magaidi na majambazi tu ambayo yanahitaji kudhibitiwa na kusambaratishwa bila huruma wala kuyachelewesha hata kwa sekunde moja tu 🐒
Dunia inaenda kasi san revolution haikwepeki ni vema kukaa chini na kutafakar njia sahihi
 
Back
Top Bottom