StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Yote kwao ni risk. Na wameona wachague risk hii ambayo wanaamini itabuy time ya wao kuendelea kubaki madarakani huku wakijipanga kujiokoa!Watawala Wana akili ndogo sana haya yote yasingefika huku kama wangeamua kumsikiliza Polepole na Mchungaji Gwajima
Wangewasikiliza Pole pole na Gwajima hadi sasa wangekuwa hawana madaraka. Na kama ujuavyo madaraka kwao ni kinga,hivyo wanahofia kitakachowakuta wakiwa nje ya madaraka!