Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

CCM wenyewe walivyo sasa.
FB_IMG_1783404985923.jpg
 
Ila tukubali zama zimebadilka sana,Gen Z wanakaa kwenye keyboard wazee wanakimbia kutoa magari makubwa ya jeshi wanahangaika barabarani inashangaza

Ahaa ila siwanapewa posho za bure mkuu.

Ukiangalia haya mambo unaona wa chini atazidi kukandamizwa na wajuu atainuliwa .

Kwakuwa Leo 7/7 ilikuwa ni siku ya wavuja jasho kupata pesa kwa kufanya kazi na biashara ila wapo ndani na kesho Ada zinahitajika

Maana Leo ni Saba Saba na ndo siku watu waliitegemea wapate pesa
 
Hilo chizi yaani halijielewi ,lengo la wahamasishaji ni iwe hivi hivi kuwakeep busy ,leo shughuli za uchumi zimesimama halafu jamaa linashangilia kama ZUZU.
Na nina uhakika wahamasisishaji wataendelea kuiendesha hii serikali..yaani ni kama wameshika remote wanachezea zile gari za watoto...Maana hawa jamaa watatangaza tarehe nyingine ,yaani jana nimeona hadi helicopter za jeshi hewani nikasema hiiìiiiiiii
 
Serikali inapoteza mapato yanayotolewa na nani?Mapato yakishuka hiyo serikali itahudumia jamii kwa kutumia nini wakati mtoa mapato amebaki nayo mfukoni mwake? Reason,nani anakwama?
Sasa huduma za kijamii zikizorota nani anaathirika hao wanasiasa au MTU wa kawaida Masikini ?
 
Serikali inapoteza mapato yanayotolewa na nani?Mapato yakishuka hiyo serikali itahudumia jamii kwa kutumia nini wakati mtoa mapato amebaki nayo mfukoni mwake? Reason,nani anakwama?
Yaani hiyo MIJITU haina akili ndiyo maana inatumika kutetea WAHUNI kwasababu wahuni wanajua kwamba ni VILAZA.....Haielewi impact ya hii issue nje ya BOX.
 
Wewe nawe ni JUHA ,serikali kwani ni nani? Si mimi ,wewe na wananchi wengine? Samuya mwajiriwa kama wewe unalivyoajiriwa....Hata huyo samuya naye yupo kwenye survival mode ndiyo maana anang'ang'ania madaraka apate kipato ,hajajipanga kuachia...Mwanasiasa ni njaa njaa ndiyo maana wakitoka madarakani wanapauka.
Unaongea mambo ya kitoto

Wewe sio realistic ni idealist

Kama nyie ndo mnataka mabadiliko mtachelewa sana maana hamjui nini mnahitaji
 
Sio kupauka tu bro,wanasiasa walitoka madarakani wanafariki kabisa!
Yeah na ndiyo maana wanafanya UHUNI sana wa kutuibia wananchi mtaani hawapawezi ,watafanya hata mauaji ili mradi waendelee kubakia madarakani.

Yaani unajiuliza hili JITU lina mabilioni Bank ambao ni bonge la mtaji inakuwaje bado linang'ang'ania tu madaraka ,kwanini lisiende kuwekeza hayo mabilioni liachane na siasa?
 
Na nina uhakika wahamasisishaji wataendelea kuiendesha hii serikali..yaani ni kama wameshika remote wanachezea zile gari za watoto...Maana hawa jamaa watatangaza tarehe nyingine ,yaani jana nimeona hadi helicopter za jeshi hewani nikasema hiiìiiiiiii
Eheee itakuwa hivi hivi hadi AFCON napo watatangaza maandamano....viongozi wanaojielewa ilitakiwa watafute solution ili waweze kuzawazisha mambo ,wao wanaendelea tu kucheza ngoma ya wahamasishaji.
 
Unaongea mambo ya kitoto

Wewe sio realistic ni idealist

Kama nyie ndo mnataka mabadiliko mtachelewa sana maana hamjui nini mnahitaji
Jaji chande alieleza watu wanataka nini ,wazungu walieleza nchi ifanye nini ili tuendelee kupata misaada ,sasa kati yangu na WAHUNI unaowatetea nani yupo kwenye capacity ya kutekeleza?
 
Yeah na ndiyo maana wanafanya UHUNI sana wa kutuibia wananchi mtaani hawapawezi ,watafanya hata mauaji ili mradi waendelee kubakia madarakani.

Yaani unajiuliza hili JITU lina mabilioni Bank ambao ni bonge la mtaji inakuwaje bado linang'ang'ania tu madaraka ,kwanini lisiende kuwekeza hayo mabilioni liachane na siasa?
Kwanini Marekani pamoja na kuwa super power lakini bado anahangaika kupora resources za nchi maskini kama Venezuela?
Ndio muelewe kwamba binadamu huwa haridhiki.
 
Ahaa ila siwanapewa posho za bure mkuu.

Ukiangalia haya mambo unaona wa chini atazidi kukandamizwa na wajuu atainuliwa .

Kwakuwa Leo 7/7 ilikuwa ni siku ya wavuja jasho kupata pesa kwa kufanya kazi na biashara ila wapo ndani na kesho Ada zinahitajika

Maana Leo ni Saba Saba na ndo siku watu waliitegemea wapate pesa
Kaka ,Hakuna posho za bure,wale askari wanateseka,wanashinda Juani wanaficha sura zao na masoksi meusi,na joto la Dar unaweza kuelewa wanachopitia,wale askari wako psychologically torched maana wanafanya tu kazi sababu hawana namna...

Na kuhusu watu kukosa kipato hiyo ndio indicator ya kwanza kwamba serikali imefeli,maana serikali nzuri ni ile yenye stability na yenye mazingira salama kwa kwa raia wake.Sasa kama wananchi hawaingizi kipato unadhani kodi itapatikana wapi kwa hiyo serikali?na leo sio 7/7 tu iliyosimama,Kariakoo imesimama,sector ya utalii lazima imesimama hapa hakuna cha wajuu kuinuliwa wala nini hapa ni serikali inazidi kuzorota....Yaani wahamasishaji wamefanikiwa kuidhoofisha serikali
 
Yeah na ndiyo maana wanafanya UHUNI sana wa kutuibia wananchi mtaani hawapawezi ,watafanya hata mauaji ili mradi waendelee kubakia madarakani.

Yaani unajiuliza hili JITU lina mabilioni Bank ambao ni bonge la mtaji inakuwaje bado linang'ang'ania tu madaraka ,kwanini lisiende kuwekeza hayo mabilioni liachane na siasa?
Kwa mfumo wao ukisema unaacha siasa wakati unahitajika kutetea genge lao unadhani hata kama ni miradi ukiianzisha itabaki salama?. Hawatakufilisi?
Kuna mifumo ni heri usijiingize kabisa kama unajipenda. Hawa watu nikiwatazama kwa jicho la tatu huwa sioni kama wanafurahia maisha for real!
 
Kaka ,Hakuna posho za bure,wale askari wanateseka,wanashinda Juanita wamficha sura zao na masoksi meusi,na joto la Dar unaweza kuelewa wanachopitia,wale askari wako psychologically torched maana wanafanya tu kazi sababu hawana namna...

Na kuhusu watu kukosa kipato hiyo ndio indicator ya kwanza kwamba serikali imefeli,maana serikali nzuri ni ile yenye stability na yenye mazingira salama kwa kwa raia wake.Sasa kama wananchi hawaingizi kipato unadhani kodi itapatikana wapi kwa hiyo serikali?na leo sio 7/7 tu iliyosimama,Kariakoo imesimama,sector ya utalii lazima imesimama hapa hakuna cha wajuu kuinuliwa wala nini hapa ni serikali inazidi kuzorota....Yaani wahamasishaji wamefanikiwa kuidhoofisha serikali

Mimi ni realistic , Kuna baadhi ya mambo hauwezi kuyabadilisha ila unabidi kuangalia namna ya ku fix mambo ili uifikie target yako ktk maisha

Politicians plus activists wote Hawa ni wasaka fursa so ukiwaona Wana push ajenda ujue wameshajua maslahi yao yatakuaje.

Ni kweli we need mabadiliko ila sio kwa aina ya watu tulizonao
 
Lovely narration,boss!
 
hueleweki unachosema
 
Jaji chande alieleza watu wanataka nini ,wazungu walieleza nchi ifanye nini ili tuendelee kupata misaada ,sasa kati yangu na WAHUNI unaowatetea nani yupo kwenye capacity ya kutekeleza?
Nishakuambia be realistic and not idealistic

Hakuna kitu utaweza badilisha

Hao unaona USA , n.k wote wanaiba resources za nchi Masikini kama Venezuela , wanaua , wanateka n.k

Hauwezi ukafanikiwa hapa duniani ukiwa unaitazama Dunia unavyotaka iwe na sio ilivyo.

Hata wewe hizi kelele unapiga hapa ni njaa tu ukiingiza katika mifumo ukaanzia kula nao hao unaowalalamikia utakaa kimya

Ni asili ya binadamu hiyo .
 
Back
Top Bottom