Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

Mom,
ni kwa waTanzania wenzangu, in fact ni kwasababu tu ya hicho kipengele cha mzungkuo wa kwenda mara sabasaba, Kingaz na kisha kitambaa cheupe,

but always,
hua nafurahi mno nikiwa mazingira ya nyumbani kuunga mkono uwekezaji wa wadada na wakaka wanaouza huduma na bidhaa ambazo ni sawa tu na za Kingaz, Kitambaa cheupe au kwingineko. But

For sure na enjoy mno kuwaunga mkono hao hustlers mitaani kuliko kufanya show up za viwanja ambavyo one bottle of drink inaweza kua zaidi ya laki moja kitu ambacho ningemuunga mkono hastlers wa mtaani kwangu na kuinjoy vya kutosha na wadau wa mtaani kwangu 🐒
Uongo tangu lini chawa wa wadhalimu ana huruma na wanyonge wanao hustle kitaa?sema hivi bado we mwenyewe unapambana upate kibuyu kilichojaa vizuri ulambe asali ndio maana unachonga sana ngenga 😂
 
🤣🤣🤣kwa kweli kijana wangu wewe ni ngumu sana kukutetea!
No Mom,
just relax tu my lovely Mom, kaa tu pembeni hapo, na uniachie hawa mimi niwanyoroshe tu taratibu with speed and standards,

I have that capacity,
and capabilities of dealing with almost everyone papendicularly within the platform, without fear of contradictions 🐒
 
Maandamano yamefanyika tayari na kwa mafanikio makubwa huku serikali ikisambaza vyombo vya ulinzi kuyazuia!

Ni vizuri serikali ikatambua kuwa maandamano siku hizi hayamaanishi watu kukusanyika mitaani.

Ni vizuri watawala wakatatua kero za wananchi kuliko kutumia nguvu nyingi kuzuia maandamano.
Lione hili nyumbu mpaka amebadili maana ya kuandamana! Mmeshindwa malofa nyie
 
No Mom,
just relax tu my lovely Mom, kaa tu pembeni hapo, na uniachie hawa mimi niwanyoroshe tu taratibu with speed and standards,

I have that capacity,
and capabilities of dealing with almost everyone papendicularly within the platform, without fear of contradictions 🐒
Die!!
 
Anajitisha mwenyewe, huyu dawa yake kumsakizia muhabesh mwenye ngwengwe amuambukize awe anakaa foleni ya kuchukua ARV 😹😹😹
🤣🤣🤣hiyo ni next level ya uhabeshi!nadhani hapo akianza ARV Tlaatlaah atatuliza akili na kumrudia Mungu kufanya toba na kuacha mambo ya kichawachawa
 
No Mom,
just relax tu my lovely Mom, kaa tu pembeni hapo, na uniachie hawa mimi niwanyoroshe tu taratibu with speed and standards,

I have that capacity,
and capabilities of dealing with almost everyone papendicularly within the platform, without fear of contradictions 🐒
Hao ni mama zako wadogo lazima niwasaidie!
 
Awamu hii hawatapata utulivu wa kufanya maendeleo yataitishwa maandamano mengine nguvu itahamia huko kujipanga kuyazuia
Pale ambapo wataamua kupuuza ndipo maandamano yatatokea yaani ni kama mtego hivi ni vile tunaongozwa na watu waliokosa utashi wa mbali ni Bora wangechukua hatua ya kujaribu kutibu tatizo
 
Uongo tangu lini chawa wa wadhalimu ana huruma na wanyonge wanao hustle kitaa?sema hivi bado we mwenyewe unapambana upate kibuyu kilichojaa vizuri ulambe asali ndio maana unachonga sana ngenga 😂
Mom,
hazitoshagi hata ufanyaje,
ni kujitafuta haswa na kujiwekeza kweli kweli unapopata fursa,

zingekua zinatosha,
Nisingeahangaika na ming'ombe, mimbuzi, mingurue wala kupiga lecture mitoto migumu mno kuelewa mambo rahisi huko universities.

In fact napambana,
na siwezi kuacha kuinjoy na kuunga mkono hastles za vijana wenzangu kitaa.

unaelewa kitambo kidogo huko nyuma, kwasababu ya ushkaji tu, nilikua natoka Kinyerezi naenda kuinjoy La Charles Sinza. In fact huo mtindo bado upo, mpaka leo but binafsi nilitafakari na kuona kama haileti sense. Najichosha kwa gharama zangu kwa manufaa ya wengine, it's better nikainjoy na kusaurpot hastles za wanguana wa kitaa na itapendeza zaidi 🐒
 
Pale ambapo wataamua kupuuza ndipo maandamano yatatokea yaani ni kama mtego hivi ni vile tunaongozwa na watu waliokosa utashi wa mbali ni Bora wangechukua hatua ya kujaribu kutibu tatizo
Hiyo ni sawa na ukisimama nchale ,ukikimbia nchale,ukikaa nchale
 
Mom,
hazitoshagi hata ufanyaje,
ni kujitafuta haswa na kujiwekeza kweli kweli unapopata fursa,

zingekua zinatosha,
Nisingeahangaika na ming'ombe, mimbuzi, mingurue wala kupiga lecture mitoto migumu mno kuelewa mambo rahisi huko universities.

In fact napambana,
na siwezi kuacha kuinjoy na kuunga mkono hastles za vijana wenzangu kitaa.

unaelewa kitambo kidogo huko nyuma, kwasababu ya ushkaji tu, nilikua natoka Kinyerezi naenda kuinjoy La Charles Sinza. In fact huo mtindo bado upo, mpaka leo but binafsi nilitafakari na kuona kama haileti sense. Najichosha kwa gharama zangu kwa manufaa ya wengine, it's better nikainjoy na kusaurpot hastles za wanguana wa kitaa na itapendeza zaidi 🐒
Yaani kama wewe ndo lecturer wa watoto wetu kama taifa changa tuna hasara kubwa!wewe ungeendelea tu kuchunga mbuzi na sungura
 
Yaani kama wewe ndo lecturer wa watoto wetu kama taifa changa tuna hasara kubwa!wewe ungeendelea tu kuchunga mbuzi na sungura
In fact,
siwezi kuacha habari ya ming'ombe na mimbuzi. Lakini pia kwasababu yoyote ile siwezi kuacha kuoffer kwa wengine zile knowledge na talents ambazo Mwenyezi Mungu amenijaalia na amanipatia bure, and therefore nitaendelea kufundisha vyuo vikuu ndani na nje ya nchi kadiri ninavyoona inafaa na kadiri ya fursa na nafasi inapojitokeza.

Na kwavile mimi sio mchoyo wala mbinafsi kwa ile knowledge Mungu amenijaalia, setbacks kwangu ni opportunity ya kujiimarisha zaidi na kusonga mbele zaidi 🐒
 
Nimekuwa nikiwaambia watu hapa nilipo kuwa maandamano yamefanikiwa. Tatizo wengi wanajua maandamano ni mkusanyiko wa watu na kuonesha grievances zao, it's a big NO. Kwanza tufahamu kuwa maandamano ni neno lenya maana pana; Maandamano ni hali ya kuonesha kutokubaliana na hali iliyopo kwa njia yoyote ile itakayofikisha ujumbe kwa mhusika. Kitendo cha watu kutofungua biashara zao na kubaki nyumbani, exhibition 77 wapo wafanyakazi wa taasisi mbalimbali walizofungua mabanda yao ndani ya eneo la 77 bila wananchi hilo ni pigo kwa serikali. Hii inamaanisha kuwa wananchi walisikia kuwa leo ni siku na kwasababu askari wamejaa mabarabarani, maandamano yatafanyika kwa njia ya aina nyingine which is ndio hiyo ya kubaki nyumbani na kusimamisha shuguri zote za kiuchumi.
Mfano mzuri serikali walivyomleta Rio Ferdinand jamaa aliandamwa mpaka akajua wananchi wanamgomo na serikali ili kukwepa huo mtego akaamua asipost chochote cha Tanzania ingawa kaletwa kwa gharama kubwa
 
Maandamano yamefanyika tayari na kwa mafanikio makubwa huku serikali ikisambaza vyombo vya ulinzi kuyazuia!

Ni vizuri serikali ikatambua kuwa maandamano siku hizi hayamaanishi watu kukusanyika mitaani.

Ni vizuri watawala wakatatua kero za wananchi kuliko kutumia nguvu nyingi kuzuia maandamano.
Serikali imejiweka kwenye mtego mbaya kabisa.
Maana kwa sasa maandamano yakitangazwa tu askari watasambaa kama hivi Leo.
Maana yake hata askari wenyewe wanaweza wakaanzisha matangazo ya maandamano kwenye mitandao ili wapate posho au shughuli ya kufanya.
Na Serikali lazima iweke maaskari kila matangazo ya aina hiyo yakifanyika na biashara lazima zifungwe hiyo wiki kwa kuogopa kuwa inaweza kuwa kweli wakaandamana.

Kwa hiyo,makundi yote yanayonufaika na maandamano au vitisho vyake kama vile akina Shehe Mwaipopo,Askari wa aina zote nk watakuwa wanahamasisha maandamano kila wakijisikia ili wanufaike bila kutumia gharama kubwa
 
Back
Top Bottom