Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

Huyo wa kuchapa viboko mpuuzi sana!
Mi mkono kabisa endelea kumpiga sana Tlaatlaah hanaga akili..!! 😹😹
kwamba gari lenu limeharibika mkiwa maelekea kwenye maandamano haramu, na sasa una muelekeza muandamanaji haramu mwenzako anipige spana, right?

Nami kwa Neema na Baraka za Mungu,
namuamuru alieshika spana, akitaka kunipga kwa amri ya muandamanaji haramu Lamomy airudishe spana hiyo kwenye toolbox yake, vinginevyo ataumia mwenyewe.

mwisho wa kunukuu.🐒
 
Nimeona video na picha barabara ni nyeupe na policcm wanachukua picha na video na kuzipost mitandaoni kwenye kurasa zao eti hali ni shwari.

Kunakuwaje na ushwari barabara imejaa armoured vehicles na mabunduki na biashara na usafiri vimesimama?
 
kwamba gari lenu limeharibika mkiwa maelekea kwenye maandamano haramu, na sasa una muelekeza muandamanaji haramu mwenzako anipige spana, right?

Nami kwa Neema na Baraka za Mungu,
namuamuru alieshika spana, akitaka kunipga kwa amri ya muandamanaji haramu Lamomy airudishe spana hiyo kwenye toolbox yake, vinginevyo ataumia mwenyewe.

mwisho wa kunukuu.🐒
Hunaga akili, kama mwanaume kweli njoo hapa kimara nakusubiri nikuonyeshe maandamano yalivyo…!!

Nimevaa jezi ya Morocco na track nyeusi na red cap… nyokoo weeh!!
 
Nishakuambia be realistic and not idealistic

Hakuna kitu utaweza badilisha

Hao unaona USA , n.k wote wanaiba resources za nchi Masikini kama Venezuela , wanaua , wanateka n.k

Hauwezi ukafanikiwa hapa duniani ukiwa unaitazama Dunia unavyotaka iwe na sio ilivyo.


Hata wewe hizi kelele unapiga hapa ni njaa tu ukiingiza katika mifumo ukaanzia kula nao hao unaowalalamikia utakaa kimya

Ni asili ya binadamu hiyo .
wewe jamaa ni wa ajabu sana. Dunia ni watu na ndio wanaoiendesha dunia (na sio kinyume chake). Kama una akili timamu utaendeshwaje na tumbo?

Tundu Lissu hakuzikataa Hela za Abdul? (ambazo kimsingi ni kodi zetu) kwa taarifa yako Hii spirit ya Lissu Iko kwa wengi.

unajua watu wa Venezuela Wana furaha ya maisha na wanazifaidi rasilimali zao kuliko alivyokuwepo Maduro?
 
Na nina uhakika wahamasisishaji wataendelea kuiendesha hii serikali..yaani ni kama wameshika remote wanachezea zile gari za watoto...Maana hawa jamaa watatangaza tarehe nyingine ,yaani jana nimeona hadi helicopter za jeshi hewani nikasema hiiìiiiiiii
😁

Helicopter za jeshi kisa maandamano tu Tena ya wananchi wa Taifa lao wanaotaka utawala wa kisheria uweze kuchukua hatamu !!!

It means ccm hawataki kabisa kusikia utawala wa kisheria unaozingatia katiba mpya ukipewa nafasi , kwao wao kuendelea kuwaibia watanzania ndio jambo sahihi , so tofauti Yao na makaburu ni ipi Sasa !?
 
Wewe ni JUHA kweli ,sasa Shughuli za kiuchumi zimesimama ,serikali imepoteza mapato ya kutosha then wewe unashangilia maandamano hakuna ,sasa hii itaenda hadi SAMUYA atoke madarakani.
Na hapo bado michuano ya Afcon ambapo itafanyika hapa Tanzania Mama anakazi kubwa sana
 
Sasa huduma za kijamii zikizorota nani anaathirika hao wanasiasa au MTU wa kawaida Masikini ?
Watu hawapaswi kuacha kuipigania haki kisa tu shughuli za kijamii zitasimama , kwenye mapambano ya kutafuta haki Kuna consequences zake na Moja wapo ni hizi za shughuli kusimama so you should understand that, Wajua mapambano ya kuipigania so kitu softy hata siku Moja
 
Toka kaandamane nyumbu we si mlikua mnapiga mdomo humu.

Safari hii utafia mbele ya duka utakalovunja na kuiba au mbele ya mali utakayochoma maana tarehe 29 ulinusurika.
Wewe mchepuko wa duli ushajifungua au bado unatema mate?

Naona leo umeachiwa unajichekesha mwenyewe..!!
 
😁

Helicopter za jeshi kisa maandamano tu Tena ya wananchi wa Taifa lao wanaotaka utawala wa kisheria uweze kuchukua hatamu !!!

It means ccm hawataki kabisa kusikia utawala wa kisheria unaozingatia katiba mpya ukipewa nafasi , kwao wao kuendelea kuwaibia watanzania ndio jambo sahihi , so tofauti Yao na makaburu ni ipi Sasa !?
Hakuna tofauti kabisa!
 
Back
Top Bottom