Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

Hunaga akili, kama mwanaume kweli njoo hapa kimara nakusubiri nikuonyeshe maandamano yalivyo…!!

Nimevaa jezi ya Morocco na track nyeusi na red cap… nyokoo weeh!!
ndugu mdau,
yaani mimi naakili zangu timamu niache mambo ya maana sana na ya msingi katika maonyesho ya kibaashara ya kimataifa sabasaba nije kuangalia jezi ya Morocco, track nyeusi na red cap ya Dar Es Salaam Jogging Club tawi la Kimara na kwamba hicho ndicho kipimo cha kua mwanaume kweli dar?

In fact,
mimi ni mwanaume kamili, na kwahivyo, vipimo hivyo vya mwanaume wa kweli dar, huenda vinawahusu hao suruali wa dar, tu, right?

but mimi niko viwanja vya sabasaba nimevaa kiraia tu na cap yangu nyeusi yenye bandera ya taifa kizalendo zaidi. Na ni matarajio yangu nitatoka maeneo haya majira ya saa 10 jioni na kuelekea Kingaz Resort, nadhani ni katikati ya kigamboni na mbagala na baadae jioni zaidi nitakua Kitambaa cheupe Tabata, karibu sana 🐒
 
😹😹😹 Imekuwaje leo dada Prida kachachuka hivi?

Ndio tatizo la familia yetu hili ndiomana hatuolewi wala hatudumu kwenye mahusiano..!! 😹😹
Bora mbaki single wadogo zangu kuliko kuolewa na mwanaume anayelamba makalio ya binadamu wenzao kama huyo fake pastor
 
ndugu mdau,
yaani mimi naakili zangu timamu niache mambo ya maana sana na ya msingi katika maonyesho ya kibaashara ya kimataifa sabasaba nije kuangalia jezi ya Morocco, track nyeusi na red cap ya Dar Es Salaam Jogging Club tawi la Kimara na kwamba hicho ndicho kipimo cha kua mwanaume kweli dar?

In fact,
mimi ni mwanaume kamili, na kwahivyo, vipimo hivyo vya mwanaume wa kweli dar, huenda vinawahusu hao suruali wa dar, tu, right?

but mimi niko viwanjani vya sabasaba nimevaa kiraia tu na cap yangu nyeusi yenye bandera ya taifa kizalendo zaidi. Ni matarajio yangu nitatoka maeneo haya majira ya saa 10 jioni na kuelekea Kingaz Resort, nadhani ni katikati ya kigamboni na mbagala na baadae jioni zaidi nitakua Kitambaa cheupe Tabata, karibu sana 🐒
Mkuu kama viwanja vyako ni kingazi pale kona ya kuelekea mikwambe na kitambaa cheuper tabata itoshe kusema Lamomy bado ana kazi ngumu ya kukukomboa kifikra
 
Endelea kuogopa hivyo hivyo ukijimix nakata kengele hizo nachoma mshkaki..!! Bata wa hedi weeh..!!

Sasa nakufata huko 7/7 upo banda gani?
 
Maandamano yamefanyika tayari na kwa mafanikio makubwa huku serikali ikisambaza vyombo vya ulinzi kuyazuia!

Ni vizuri serikali ikatambua kuwa maandamano siku hizi hayamaanishi watu kukusanyika mitaani.

Ni vizuri watawala wakatatua kero za wananchi kuliko kutumia nguvu nyingi kuzuia maandamano.
Nimekuwa nikiwaambia watu hapa nilipo kuwa maandamano yamefanikiwa. Tatizo wengi wanajua maandamano ni mkusanyiko wa watu na kuonesha grievances zao, it's a big NO. Kwanza tufahamu kuwa maandamano ni neno lenya maana pana; Maandamano ni hali ya kuonesha kutokubaliana na hali iliyopo kwa njia yoyote ile itakayofikisha ujumbe kwa mhusika. Kitendo cha watu kutofungua biashara zao na kubaki nyumbani, exhibition 77 wapo wafanyakazi wa taasisi mbalimbali walizofungua mabanda yao ndani ya eneo la 77 bila wananchi hilo ni pigo kwa serikali. Hii inamaanisha kuwa wananchi walisikia kuwa leo ni siku na kwasababu askari wamejaa mabarabarani, maandamano yatafanyika kwa njia ya aina nyingine which is ndio hiyo ya kubaki nyumbani na kusimamisha shuguri zote za kiuchumi.
 
Eti anakutishia anaenda kiwanja kingazi akitoka ataenda kitambaa cheupe tabata baa zote zina UTI sugu🤣
Mom,
mie Kingaz Resort nakwenda kula mbuzi nikitoka hapo naelekea Tabata Kitambaa cheupe kupata makelele kidogo na kisha naenda zangu kupumzika, mzungkuo very simple na hakuna kitisho, nchi yetu hii ni ya amani bana vitisho vya nini 🐒
 
Bora mbaki single wadogo zangu kuliko kuolewa na mwanaume anayelamba makalio ya binadamu wenzao kama huyo fake pastor
😹😹😹 Halafu hayataki veggies wenzao wanataka wanaharakati sijui yakoje?

Huyu fake pastor anachangia pakubwa kuendeleza uovu kwa binadamu wenzie kwa njaa zake..!! Jinga kabisa Tlaatlaah
 
Eti anakutishia anaenda kiwanja kingazi akitoka ataenda kitambaa cheupe tabata baa zote zina UTI sugu🤣
Anajitisha mwenyewe, huyu dawa yake kumsakizia muhabesh mwenye ngwengwe amuambukize awe anakaa foleni ya kuchukua ARV 😹😹😹
 
Endelea kuogopa hivyo hivyo ukijimix nakata kengele hizo nachoma mshkaki..!! Bata wa hedi weeh..!!

Sasa nakufata huko 7/7 upo banda gani?
kumbe nawe umo kwenye hizo ibada za masanamu kama yule bidada wa kuyaromosha na hana point?🤣

just confirm,
nitakupatia na namba ya simu kabisa ili unipate kirahisi na itapendeza zaidi. Don't wory and you can come with your friends haina shida 🐒
 
Maandamano yamefanyika tayari na kwa mafanikio makubwa huku serikali ikisambaza vyombo vya ulinzi kuyazuia!

Ni vizuri serikali ikatambua kuwa maandamano siku hizi hayamaanishi watu kukusanyika mitaani.

Ni vizuri watawala wakatatua kero za wananchi kuliko kutumia nguvu nyingi kuzuia maandamano.
Kero za wananchi ni zipi?
 
Kama unalala na kuamka salama wewe, familia na ndugu wote ujue huna kero bali uvivu wako wa kujiajili.

Siku moja nilimuuliza mpwa wangu kwanini unaona maandamano ni sahihi akasema maisha magumu. Nikamuuluza unaandamana ili upewe fedha, chakula au nguo? Akashindwa kujibu. Nikamuuliza tena je, una mbuzi wangapi waliokosa soko? AKAJIBU SINA, kuku je? Sina, mahindi? Sina.
 
Mkuu kama viwanja vyako ni kingazi pale kona ya kuelekea mikwambe na kitambaa cheuper tabata itoshe kusema Lamomy bado ana kazi ngumu ya kukukomboa kifikra
Mom,
ni kwa waTanzania wenzangu, in fact ni kwasababu tu ya hicho kipengele cha mzungkuo wa kwenda mara sabasaba, Kingaz na kisha kitambaa cheupe,

but always,
hua nafurahi mno nikiwa mazingira ya nyumbani kuunga mkono uwekezaji wa wadada na wakaka wanaouza huduma na bidhaa ambazo ni sawa tu na za Kingaz, Kitambaa cheupe au kwingineko. But

For sure na enjoy mno kuwaunga mkono hao hustlers mitaani kuliko kufanya show up za viwanja ambavyo one bottle of drink inaweza kua zaidi ya laki moja kitu ambacho ningemuunga mkono hastlers wa mtaani kwangu na kuinjoy vya kutosha na wadau wa mtaani kwangu 🐒
 
Yeah na ndiyo maana wanafanya UHUNI sana wa kutuibia wananchi mtaani hawapawezi ,watafanya hata mauaji ili mradi waendelee kubakia madarakani.

Yaani unajiuliza hili JITU lina mabilioni Bank ambao ni bonge la mtaji inakuwaje bado linang'ang'ania tu madaraka ,kwanini lisiende kuwekeza hayo mabilioni liachane na siasa?
Mkuu Viongozi hawezi kuzungusha pesa wakiwa nje ya Ofisi kwasababu wameshazoea kuchota pesa za bure, Sasa wakiwa nje ya ofisi hawezi kuzungusha pesa zao kwenye Biashara mwisho wanafilisika na wanaanza kuitegemea Pension ya kila mwezi na kulingana na Matumizi yao Pension inakua haitoshi, Ndiyo Kipindi cha Magufuli Raisi Mstaafu Kikwete alijifanya mkulima na Mfugaji lakiji awamu hii uwezi kumsikia akizungumzia kilimo na Ufugaji ila sasa hivi amekua akiizunguka Duniani.
 
Back
Top Bottom