Kinachoendelea waTanzania tuko kwenye shida. Hapa wanapokea data sidhani kama wanauhakika na watakacholeta mezani.Kiruuuuuuuuu, mtaani kwetu nyumba zilizohesabiwa hazifiki 8 na nyumba moja mtu anakaa masaa 5-6. This is a joke...
Hujawahi shuhudia wehu ngoja muwatibue vizuri tena nakwambia ogopa sana mtu mkimya. Balaa lake huwa zito na baya sana.Sio kwa Watanzania hawa.
Upuuzi wamefanyiwa mara nyingi hakuna walichokifanya.
Hakuna Mtanzania wa kuipinga serikali
Hii sensa ilipaswa kufanywa na kada ya walimu nafikiri ingefanyika kwa ufanisi zaidi, nilivyiwaangalia hawa makarani ni kama walikuwa wanafanya bora liende
Umewaza mbali sana mkuu.Kwani mimi na mwenye nyumba tukikubaliana kuwa kodi ni sh100000 ila serikalini tukasema ni 30000 kuna tatizo gani
Unafurahia tu amani,mfumo uliopo...yaani usalama,huduma za afya,barabara,mpangilio wa makazi nk...hela ya ku-organize inatoka wapi!?..lipeni Kodi,mlizowea kuishi kijamaa Kama nguchiro kichuguuniNa huku ndiko tunakokwenda. Kama mpangaji hataki/hawezi, basi akatafute chumba mahali pengine.
Yaani ujenzi ulivyokua wa gharama kiasi hiki, halafu nitoe tu kirahisi 10% kugawana na serikali ambayo haijanichangia chochote kwenye ujenzi! Na bado kila mwezi nakatwa 1000 kwenye LUKU kama kodi ya jengo!
Hujaelewa wapi mkuu?Aliyeelewa please
Hata mim sijaelewa mkuu, ukumbuke makaran wa sensa wana vishikwambi. Piga upya hesabu uje na maelezo yakuelewekaHujaelewa wapi mkuu?
Hawa watafanya tuchelewe kupata maendeleo hapa nchini. Futeni haoooooπππ
View attachment 2338361
Wa kufutwa ni CCM ambao wameshika dolaπHawa watafanya tuchelewe kupata maendeleo hapa nchini. Futeni haooooo