Kinachoendelea waTanzania tuko kwenye shida. Hapa wanapokea data sidhani kama wanauhakika na watakacholeta mezani.Kiruuuuuuuuu, mtaani kwetu nyumba zilizohesabiwa hazifiki 8 na nyumba moja mtu anakaa masaa 5-6. This is a joke...
Japo kikubwa kwao ni KUTOA mafanikio sana ya asilimia 110 tuendelee kishangaa. Ili mradi hizo data zitawaendea wafadhili wanaowaita mabeberu ilinwapate pesa ya Maendeleo na watatia mfukoni tu.
Katika hizo siku Saba waje pia na taarifa za vifo na wazaliwa kinyume ya hapo ni feki taarifa.!