Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Nchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.
Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba gani ya kumuwajibisha.
HATUWE KUA NA TAIFA AMBALO KIONGOZI WA DINI, NA AMBAYE NI MWANACCM, MBELE RAIS, TENA AKITUMIA MADHABAHU YA KANISA ,VYOMBO VYA HABARI vikimtangaza, aseme Bora MTU kukatwa Kichwa !!.
Watu wa aina hii, ndio ambao wanaweza liiingiza Taifa katika vita vya Udini na kuchinjana once wanapopata nafasi za Uongozi Mahali Fulani.
Tumesikia ,Vijana wa UVCCM na matamko Yao ,Tukiwapoteza msiwatafute, kudunga Sindano za sumu, n.k , matokeo yake kama masihara lkn ndio uhalisia watanzania wakosoaji wa Rais SAMIA wametekwa, wamepotezwa, wameuliwa n.k !!.
Taifa linategemea, Viongozi wa Dini kukemea Maovu, kuwabadili waovu wawe wema...
Sheikh huyu ambaye nauhakika hata Kidato Cha Nne hajafika au amefeli, Anashindwa kukemea Utekaji, anashindwa Kwema mauaji ,NASHINDWA KEMEA MAFISADI NA MAJIZI YA UCHAGUZI, Badala yake anawahimiza kufanya JINAI, yaan Kiongozi wa Dini ,anachochea Vyombo Dola kufanya JINAI!!
Hatuwezi kua na viongozi Dini wa aina hii, alafu tukae kimya!!.
Nchi hii sio NCHI ya Kiislam, haiongozwi na Sheria za Kiimlaz ni Nchi yenye Katiba !!.
Sasa Watanzania nadhan mnaendelea kuona ule Utekaji unafanywa na Akina nani !!