Serikali/BAKWATA/Polisi/CCM: Maneno aliyosema Sheikh kwa Mwamposa 'Kukata watu Vichwa' ndio msimamo wenu pia?

Nchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.

Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba gani ya kumuwajibisha.

HATUWE KUA NA TAIFA AMBALO KIONGOZI WA DINI, NA AMBAYE NI MWANACCM, MBELE RAIS, TENA AKITUMIA MADHABAHU YA KANISA ,VYOMBO VYA HABARI vikimtangaza, aseme Bora MTU kukatwa Kichwa !!.

Watu wa aina hii, ndio ambao wanaweza liiingiza Taifa katika vita vya Udini na kuchinjana once wanapopata nafasi za Uongozi Mahali Fulani.

Tumesikia ,Vijana wa UVCCM na matamko Yao ,Tukiwapoteza msiwatafute, kudunga Sindano za sumu, n.k , matokeo yake kama masihara lkn ndio uhalisia watanzania wakosoaji wa Rais SAMIA wametekwa, wamepotezwa, wameuliwa n.k !!.

Taifa linategemea, Viongozi wa Dini kukemea Maovu, kuwabadili waovu wawe wema...

Sheikh huyu ambaye nauhakika hata Kidato Cha Nne hajafika au amefeli, Anashindwa kukemea Utekaji, anashindwa Kwema mauaji ,NASHINDWA KEMEA MAFISADI NA MAJIZI YA UCHAGUZI, Badala yake anawahimiza kufanya JINAI, yaan Kiongozi wa Dini ,anachochea Vyombo Dola kufanya JINAI!!

Hatuwezi kua na viongozi Dini wa aina hii, alafu tukae kimya!!.

Nchi hii sio NCHI ya Kiislam, haiongozwi na Sheria za Kiimlaz ni Nchi yenye Katiba !!.

Sasa Watanzania nadhan mnaendelea kuona ule Utekaji unafanywa na Akina nani !!

View: https://x.com/HildaNewton21/status/1941464083020251189/video/1
 
Tuna rais wa ovyo sana nchi hii, rais anasikiliza watu wakatwe vichwa na anafurahia. Sijaona rais mjinga sana kama Samia. Huyo Mwamposa alishaua watu zaidi wa 20 kule Moshi na bado analindwa na serikali. Samia amebadili dini? Mbona amewekewa mikono na muuaji.
Mwamposa, Makonda na Sabaya ni ushirika moja. WAUAJI WOTE. Hilo kanisa la mtume mwizi muuaji na mpumbavu, huyo Mwamposa aliyekuwa mfanya biashara na mchuuzi wa bidhaa ndogo ndogo, ni mhuni, malaya na mwizi.
Serikali yetu imemjengea kanisa bure kwenye ardhi ambayo ingeendelezwa kwa biashara.

Huyo tapeli Mwamposa, muuaji na hakuna tofauti na mhubiri wa Nigeria, Nabii Joshua. Wanachuma pesa za bure za watu maskini. WATANZANIA AMKENI. Kuna habari zilivuja kuwa Mwamposa huwa anafanya kikao na watu wake, kuwa asipofanya yale anayotaka Mtume Mwamposa wanaadhibiwa, Kwa mfano unapoweka mikono usipoanguka utapata taabu sana. WATANZANIA AMKENI. Serikali badala ya kujenga na kusomesha madaktari wao wanamtegemea Mwamposa.
Reaction yako kanisa la Gwajima lilipofungwa ilikuwaje!?
 
Nchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.

Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba gani ya kumuwajibisha.

HATUWE KUA NA TAIFA AMBALO KIONGOZI WA DINI, NA AMBAYE NI MWANACCM, MBELE RAIS, TENA AKITUMIA MADHABAHU YA KANISA ,VYOMBO VYA HABARI vikimtangaza, aseme Bora MTU kukatwa Kichwa !!.

Watu wa aina hii, ndio ambao wanaweza liiingiza Taifa katika vita vya Udini na kuchinjana once wanapopata nafasi za Uongozi Mahali Fulani.

Tumesikia ,Vijana wa UVCCM na matamko Yao ,Tukiwapoteza msiwatafute, kudunga Sindano za sumu, n.k , matokeo yake kama masihara lkn ndio uhalisia watanzania wakosoaji wa Rais SAMIA wametekwa, wamepotezwa, wameuliwa n.k !!.

Taifa linategemea, Viongozi wa Dini kukemea Maovu, kuwabadili waovu wawe wema...

Sheikh huyu ambaye nauhakika hata Kidato Cha Nne hajafika au amefeli, Anashindwa kukemea Utekaji, anashindwa Kwema mauaji ,NASHINDWA KEMEA MAFISADI NA MAJIZI YA UCHAGUZI, Badala yake anawahimiza kufanya JINAI, yaan Kiongozi wa Dini ,anachochea Vyombo Dola kufanya JINAI!!

Hatuwezi kua na viongozi Dini wa aina hii, alafu tukae kimya!!.

Nchi hii sio NCHI ya Kiislam, haiongozwi na Sheria za Kiimlaz ni Nchi yenye Katiba !!.

Sasa Watanzania nadhan mnaendelea kuona ule Utekaji unafanywa na Akina nani !!
Nimefurah kuona upo rafiki angu dr Carlos
 
Yani sele kali inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe..

Inaalika watu mazwazwa wanaojificha kwenye vivuli vya dini kwenda kuisafisha kwa wananchi, lakini ndio kwanza wanazidi kujichafua...

Itoshe kusema mama kuku anakula wanawe..
 
Hao ndio zao ushari shari mda wote, wanadhani wote wanapenda maugomvi yao, utasikia achinjwe....dini zingine za hovyo sana..hasa zikipata kiongozi kilaza kama huyo yaani tabu tu.....tunaichukia taasisi nzima kwa ujinga wa kiongozi wao....hata wenzio kukemea hawawez
 
Reaction yako kanisa la Gwajima lilipofungwa ilikuwaje!?
Wamefunga kanisa la Gwajima wakati wamempa huyo tapeli Mwamposa na muuaji sehemu na serikali ya ovyo ya Samia ikamjengea. Halafu tunaambiwa kanisa lisijihusishe na siasa. Huyo Mwamposa aliyesema "Watu wangu mjiandikishe na kuipigia kura CCM" hakuongea siasa? Na huyo sheikh njaa aliyesema wanaopinga serikali wakatwe vichwa? Hawajui Tanzania ni nchi ya vyama vingi? Hawajui katiba ya Tanzania inaruhusu vyama vingi? Toeni upumbavu wenu.
 
Nchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.

Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba gani ya kumuwajibisha.

HATUWE KUA NA TAIFA AMBALO KIONGOZI WA DINI, NA AMBAYE NI MWANACCM, MBELE RAIS, TENA AKITUMIA MADHABAHU YA KANISA ,VYOMBO VYA HABARI vikimtangaza, aseme Bora MTU kukatwa Kichwa !!.

Watu wa aina hii, ndio ambao wanaweza liiingiza Taifa katika vita vya Udini na kuchinjana once wanapopata nafasi za Uongozi Mahali Fulani.

Tumesikia ,Vijana wa UVCCM na matamko Yao ,Tukiwapoteza msiwatafute, kudunga Sindano za sumu, n.k , matokeo yake kama masihara lkn ndio uhalisia watanzania wakosoaji wa Rais SAMIA wametekwa, wamepotezwa, wameuliwa n.k !!.

Taifa linategemea, Viongozi wa Dini kukemea Maovu, kuwabadili waovu wawe wema...

Sheikh huyu ambaye nauhakika hata Kidato Cha Nne hajafika au amefeli, Anashindwa kukemea Utekaji, anashindwa Kwema mauaji ,NASHINDWA KEMEA MAFISADI NA MAJIZI YA UCHAGUZI, Badala yake anawahimiza kufanya JINAI, yaan Kiongozi wa Dini ,anachochea Vyombo Dola kufanya JINAI!!

Hatuwezi kua na viongozi Dini wa aina hii, alafu tukae kimya!!.

Nchi hii sio NCHI ya Kiislam, haiongozwi na Sheria za Kiimlaz ni Nchi yenye Katiba !!.

Sasa Watanzania nadhan mnaendelea kuona ule Utekaji unafanywa na Akina nani !!
ili kuwa Shekhe unatakiwa kujua na kusoma lugha ya kiaraabu tu na hata ukiwa na Elimu ya Darasa la pili, ndiyo maana idadi kubwa ya mashehe hufuga majini ili kulinda vibarua vyao misikitini na huwa na weledi mdogo wa chini sana hususani wale chawa wa ccm
 
Kuna Waislam wasomi wenye weledi hao hawana Udini na wengi huwa ni wapinzani lakini kuna wale Mashehe Ubwabwa njaa njaa wasio na Elimu wengi hushinda Bakwata na ndiyo chawa wa ccm na wajinga wajinga balaa, ibilisi wa ccm wasio na weledi ndiyo huwatuma mashehe wajinga wajinga kuongea Upumbavu mtupu wakizani watanzania wamelala
 
Huyo naamini kama kasoma sana ni Kidato Cha Nne aliyefeli, ila bado udogo wake wa Elimu haumoi sababu ya kuhalalisha Uvunjifu wa KATIBA na kufanya JINAI.
Mkristo kabudi kasoma na phd zipo 100 akili yake ni bora ya muislamu hajasoma na wapo wengi maprofesa makafiri akili 0+
 
Back
Top Bottom