Serikali/BAKWATA/Polisi/CCM: Maneno aliyosema Sheikh kwa Mwamposa 'Kukata watu Vichwa' ndio msimamo wenu pia?

Serikali/BAKWATA/Polisi/CCM: Maneno aliyosema Sheikh kwa Mwamposa 'Kukata watu Vichwa' ndio msimamo wenu pia?

Zamani waiitwa Mpambe Nuksi

Nyakati hizi ni Chawa Ila huyu ni chawa pro max.

Kauli kama hizi hazina afya kwa Taifa ambalo tayari lipo ICU
 
Nchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.

Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba gani ya kumuwajibisha.

HATUWE KUA NA TAIFA AMBALO KIONGOZI WA DINI, NA AMBAYE NI MWANACCM, MBELE RAIS, TENA AKITUMIA MADHABAHU YA KANISA ,VYOMBO VYA HABARI vikimtangaza, aseme Bora MTU kukatwa Kichwa !!.

Watu wa aina hii, ndio ambao wanaweza liiingiza Taifa katika vita vya Udini na kuchinjana once wanapopata nafasi za Uongozi Mahali Fulani.

Tumesikia ,Vijana wa UVCCM na matamko Yao ,Tukiwapoteza msiwatafute, kudunga Sindano za sumu, n.k , matokeo yake kama masihara lkn ndio uhalisia watanzania wakosoaji wa Rais SAMIA wametekwa, wamepotezwa, wameuliwa n.k !!.

Taifa linategemea, Viongozi wa Dini kukemea Maovu, kuwabadili waovu wawe wema...

Sheikh huyu ambaye nauhakika hata Kidato Cha Nne hajafika au amefeli, Anashindwa kukemea Utekaji, anashindwa Kwema mauaji ,NASHINDWA KEMEA MAFISADI NA MAJIZI YA UCHAGUZI, Badala yake anawahimiza kufanya JINAI, yaan Kiongozi wa Dini ,anachochea Vyombo Dola kufanya JINAI!!

Hatuwezi kua na viongozi Dini wa aina hii, alafu tukae kimya!!.

Nchi hii sio NCHI ya Kiislam, haiongozwi na Sheria za Kiimlaz ni Nchi yenye Katiba !!.

Sasa Watanzania nadhan mnaendelea kuona ule Utekaji unafanywa na Akina nani !!
Kwa maneno mengine angefurahi sana kama Lissu angekata kichwa, hata hapatushakua na Boko Haram
 
Kauli kama hizi hazina afya kwa Taifa ambalo tayari lipo ICU
Mimi kauli ya huyo haikunishtua hata kidogo ila makofi na sura za wapiga makofi kufuatia kauli hiyo ya Sheikh Mawindwa!

Nawashauri muangalie hiyo video kwa makini na kushuhudia jinsi walio na kiu ya damu za Watanzania wenzao walivyopokea hiyo kauli.

Ajabu tunaambiwa huyo ndiye mwenyekiti wa kamati fulani...sasa jiulize majukumu ya hiyo kamati anayoiongoza.
 
Hivi, kifasihi, "kukata kichwa" maana yake ni nini?!!!! Naona haters wa Samia mnajitahidi kuzusha Kila jambo lakini yote yanafeli. Poleni nyumbu
Upo hapa kutetea usiyoyajua wewe
Unasoma fasihi kweli au ni ile ya kidato cha pili?? Kukata kichwa wewe umeelewaje kifasihi???
 
Nchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.

Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba gani ya kumuwajibisha.

HATUWE KUA NA TAIFA AMBALO KIONGOZI WA DINI, NA AMBAYE NI MWANACCM, MBELE RAIS, TENA AKITUMIA MADHABAHU YA KANISA ,VYOMBO VYA HABARI vikimtangaza, aseme Bora MTU kukatwa Kichwa !!.

Watu wa aina hii, ndio ambao wanaweza liiingiza Taifa katika vita vya Udini na kuchinjana once wanapopata nafasi za Uongozi Mahali Fulani.

Tumesikia ,Vijana wa UVCCM na matamko Yao ,Tukiwapoteza msiwatafute, kudunga Sindano za sumu, n.k , matokeo yake kama masihara lkn ndio uhalisia watanzania wakosoaji wa Rais SAMIA wametekwa, wamepotezwa, wameuliwa n.k !!.

Taifa linategemea, Viongozi wa Dini kukemea Maovu, kuwabadili waovu wawe wema...

Sheikh huyu ambaye nauhakika hata Kidato Cha Nne hajafika au amefeli, Anashindwa kukemea Utekaji, anashindwa Kwema mauaji ,NASHINDWA KEMEA MAFISADI NA MAJIZI YA UCHAGUZI, Badala yake anawahimiza kufanya JINAI, yaan Kiongozi wa Dini ,anachochea Vyombo Dola kufanya JINAI!!

Hatuwezi kua na viongozi Dini wa aina hii, alafu tukae kimya!!.

Nchi hii sio NCHI ya Kiislam, haiongozwi na Sheria za Kiimlaz ni Nchi yenye Katiba !!.

Sasa Watanzania nadhan mnaendelea kuona ule Utekaji unafanywa na Akina nani !!
Mpiga makelele usiyeweza kufanya lolote akitolewa nyuma ya keyboard...
 
Huyo naamini kama kasoma sana ni Kidato Cha Nne aliyefeli, ila bado udogo wake wa Elimu haumoi sababu ya kuhalalisha Uvunjifu wa KATIBA na kufanya JINAI.
Bakhresa kaishia la NNE. Lkn mainjinia, na wataalam mbalimbali wanampigia magoti. Hata serikali inamtambua kuliko maprofesa na madaktari.
 
Tunaweza tusiwafanhe kitu Sasa, ila Dunia haisimami,,, wewe unadhan CCM ndio chama pekee ambacho kilileta uhuru Kwa Nchi yake?.

Vipi Vyama vikongwe ambavyo vimeanguka, na Kwa Afrika Vyama hivi vilivyojiona vikongwe Na vimeanguka, vimebakia Vyama kama vinne tu katika Bara Zima.


Maana yangu ni kwamba, Teknolojia , tutaitumia kuwawajibisha watu Hawa hata kama watakua wamekufa.
Keyboard worriers
 
Niliwaambia watu kuwa waislamu wasichekewe watengwe kabisa na uongozi mkaniona mjinga mpumbavu ...huyo shekh kama kasema hayo maneno jueni tu kuwa mwamposa anatumika ni mpango maususi ulipangwa aseme hayo maneno kuwatisha wakristo ni mwongozo kutoka waislamu wa ccm ...kama nilivyo onya samia hatakiwi kabisa kubaki madarakani 2025-2030 mtakuja kunikumbuka siyo wakristo tu bali hata waislamu na watanzania wote ...ila mwisho wa samia na genge lake la wahalifu utakuwa mbaya awezi tena kuchomoka kwenye huo mwisho 😁 na walio jichafua watajaribu kujisafisha wasiweze nao mwisho wao utakuwa mbaya ..mwisho wa wazanzibar pia utakuwa mbaya ...msije sema siku waambieni
Dua la kuku!
 
Ndio Maana katoliki wamekataa Kila mtu kusimamama mbele na kuhutubia. Owner invitee principle. Ukimwalika mtu kwako upo responsible na majanga atakayoyapata na atakayo yassbabisha
 
Si mlikubaliana leo muende kwenye kanisa la gwajima kuandamana we mbona bado upo mtandaoni? Au umejificha unasubiri wenzako waumie ili upate cha kupost?
 
Si mlikubaliana leo muende kwenye kanisa la gwajima kuandamana we mbona bado upo mtandaoni? Au umejificha unasubiri wenzako waumie ili upate cha kupost?
Wao kazi yao ni maandamano ya mtandaoni kisha kuripoti wajinga wakipigwa huko field.
 
Back
Top Bottom