Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Huyo naamini kama kasoma sana ni Kidato Cha Nne aliyefeli, ila bado udogo wake wa Elimu haumoi sababu ya kuhalalisha Uvunjifu wa KATIBA na kufanya JINAI.Tungeanza na elimu yake kwanza?
Tunaweza tusiwafanhe kitu Sasa, ila Dunia haisimami,,, wewe unadhan CCM ndio chama pekee ambacho kilileta uhuru Kwa Nchi yake?.Hata waki sema ndio tutawafanya nn??
Video iko wapi?Nchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.
Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba gani ya kumuwajibisha.
HATUWE KUA NA TAIFA AMBALO KIONGOZI WA DINI, NA AMBAYE NI MWANACCM, MBELE RAIS, TENA AKITUMIA MADHABAHU YA KANISA ,VYOMBO VYA HABARI vikimtangaza, aseme Bora MTU kukatwa Kichwa !!.
Watu wa aina hii, ndio ambao wanaweza liiingiza Taifa katika vita vya Udini na kuchinjana once wanapopata nafasi za Uongozi Mahali Fulani.
Tumesikia ,Vijana wa UVCCM na matamko Yao ,Tukiwapoteza msiwatafute, kudunga Sindano za sumu, n.k , matokeo yake kama masihara lkn ndio uhalisia watanzania wakosoaji wa Rais SAMIA wametekwa, wamepotezwa, wameuliwa n.k !!.
Taifa linategemea, Viongozi wa Dini kukemea Maovu, kuwabadili waovu wawe wema...
Sheikh huyu ambaye nauhakika hata Kidato Cha Nne hajafika au amefeli, Anashindwa kukemea Utekaji, anashindwa Kwema mauaji ,NASHINDWA KEMEA MAFISADI NA MAJIZI YA UCHAGUZI, Badala yake anawahimiza kufanya JINAI, yaan Kiongozi wa Dini ,anachochea Vyombo Dola kufanya JINAI!!
Hatuwezi kua na viongozi Dini wa aina hii, alafu tukae kimya!!.
Nchi hii sio NCHI ya Kiislam, haiongozwi na Sheria za Kiimlaz ni Nchi yenye Katiba !!.
Sasa Watanzania nadhan mnaendelea kuona ule Utekaji unafanywa na Akina nani !!
Ingia YouTube , una Bando Mkuu!!.Video iko wapi?
Anataka amkate kichwa Mwamposa?Hatuwezi kua na viongozi Dini wa aina hii, alafu tukae kimya!!.
Brother Tanzania ina dead citizens usilinganishe na izo nchi zenye alive citizens.... Ccm ipo na itazidi kuwepoTunaweza tusiwafanhe kitu Sasa, ila Dunia haisimami,,, wewe unadhan CCM ndio chama pekee ambacho kilileta uhuru Kwa Nchi yake?.
Vipi Vyama vikongwe ambavyo vimeanguka, na Kwa Afrika Vyama hivi vilivyojiona vikongwe Na vimeanguka, vimebakia Vyama kama vinne tu katika Bara Zima.
Maana yangu ni kwamba, Teknolojia , tutaitumia kuwawajibisha watu Hawa hata kama watakua wamekufa.
Kumkata kichwa ndio maana yake wanataka wamkate kichwaHivi, kifasihi, "kukata kichwa" maana yake ni nini?!!!! Naona haters wa Samia mnajitahidi kuzusha Kila jambo lakini yote yanafeli. Poleni nyumbu
Shekhe ajisimsmie mwenyeweNchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.
Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba gani ya kumuwajibisha.
HATUWE KUA NA TAIFA AMBALO KIONGOZI WA DINI, NA AMBAYE NI MWANACCM, MBELE RAIS, TENA AKITUMIA MADHABAHU YA KANISA ,VYOMBO VYA HABARI vikimtangaza, aseme Bora MTU kukatwa Kichwa !!.
Watu wa aina hii, ndio ambao wanaweza liiingiza Taifa katika vita vya Udini na kuchinjana once wanapopata nafasi za Uongozi Mahali Fulani.
Tumesikia ,Vijana wa UVCCM na matamko Yao ,Tukiwapoteza msiwatafute, kudunga Sindano za sumu, n.k , matokeo yake kama masihara lkn ndio uhalisia watanzania wakosoaji wa Rais SAMIA wametekwa, wamepotezwa, wameuliwa n.k !!.
Taifa linategemea, Viongozi wa Dini kukemea Maovu, kuwabadili waovu wawe wema...
Sheikh huyu ambaye nauhakika hata Kidato Cha Nne hajafika au amefeli, Anashindwa kukemea Utekaji, anashindwa Kwema mauaji ,NASHINDWA KEMEA MAFISADI NA MAJIZI YA UCHAGUZI, Badala yake anawahimiza kufanya JINAI, yaan Kiongozi wa Dini ,anachochea Vyombo Dola kufanya JINAI!!
Hatuwezi kua na viongozi Dini wa aina hii, alafu tukae kimya!!.
Nchi hii sio NCHI ya Kiislam, haiongozwi na Sheria za Kiimlaz ni Nchi yenye Katiba !!.
Sasa Watanzania nadhan mnaendelea kuona ule Utekaji unafanywa na Akina nani !!
Kwanini unasemaje ni fasihi? Kesi ya uhaini adhabu yake ni ipi?Hivi, kifasihi, "kukata kichwa" maana yake ni nini?!!!! Naona haters wa Samia mnajitahidi kuzusha Kila jambo lakini yote yanafeli. Poleni nyumbu
Tumwanze yeye ku.kata kichwa. Hayo maneno katamkia kwenye hema au kwenye chumba cha Mwamposa.Nchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.
Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba gani ya kumuwajibisha.
HATUWE KUA NA TAIFA AMBALO KIONGOZI WA DINI, NA AMBAYE NI MWANACCM, MBELE RAIS, TENA AKITUMIA MADHABAHU YA KANISA ,VYOMBO VYA HABARI vikimtangaza, aseme Bora MTU kukatwa Kichwa !!.
Watu wa aina hii, ndio ambao wanaweza liiingiza Taifa katika vita vya Udini na kuchinjana once wanapopata nafasi za Uongozi Mahali Fulani.
Tumesikia ,Vijana wa UVCCM na matamko Yao ,Tukiwapoteza msiwatafute, kudunga Sindano za sumu, n.k , matokeo yake kama masihara lkn ndio uhalisia watanzania wakosoaji wa Rais SAMIA wametekwa, wamepotezwa, wameuliwa n.k !!.
Taifa linategemea, Viongozi wa Dini kukemea Maovu, kuwabadili waovu wawe wema...
Sheikh huyu ambaye nauhakika hata Kidato Cha Nne hajafika au amefeli, Anashindwa kukemea Utekaji, anashindwa Kwema mauaji ,NASHINDWA KEMEA MAFISADI NA MAJIZI YA UCHAGUZI, Badala yake anawahimiza kufanya JINAI, yaan Kiongozi wa Dini ,anachochea Vyombo Dola kufanya JINAI!!
Hatuwezi kua na viongozi Dini wa aina hii, alafu tukae kimya!!.
Nchi hii sio NCHI ya Kiislam, haiongozwi na Sheria za Kiimlaz ni Nchi yenye Katiba !!.
Sasa Watanzania nadhan mnaendelea kuona ule Utekaji unafanywa na Akina nani !!
Kwa hiyo ndio tumuache!! Nani aliyemualika!?Huyo naamini kama kasoma sana ni Kidato Cha Nne aliyefeli, ila bado udogo wake wa Elimu haumoi sababu ya kuhalalisha Uvunjifu wa KATIBA na kufanya JINAI.
Wewe ambae sio nyumbu "kukata kichwa" maana yake niniHivi, kifasihi, "kukata kichwa" maana yake ni nini?!!!! Naona haters wa Samia mnajitahidi kuzusha Kila jambo lakini yote yanafeli. Poleni nyumbu
Niliwaambia watu kuwa waislamu wasichekewe watengwe kabisa na uongozi mkaniona mjinga mpumbavu ...huyo shekh kama kasema hayo maneno jueni tu kuwa mwamposa anatumika ni mpango maususi ulipangwa aseme hayo maneno kuwatisha wakristo ni mwongozo kutoka waislamu wa ccm ...kama nilivyo onya samia hatakiwi kabisa kubaki madarakani 2025-2030 mtakuja kunikumbuka siyo wakristo tu bali hata waislamu na watanzania wote ...ila mwisho wa samia na genge lake la wahalifu utakuwa mbaya awezi tena kuchomoka kwenye huo mwisho 😁 na walio jichafua watajaribu kujisafisha wasiweze nao mwisho wao utakuwa mbaya ..mwisho wa wazanzibar pia utakuwa mbaya ...msije sema siku waambieniNchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.