Serikali/BAKWATA/Polisi/CCM: Maneno aliyosema Sheikh kwa Mwamposa 'Kukata watu Vichwa' ndio msimamo wenu pia?

Elimu yako tafadhali, mimi namuunga mkono shekhe kama mtu anataka kuchafua amani ya nchi yetu auwawe mapema sana kuliko kuingiza nchi vitani

USSR
 
Nchi niyetu wenye dini na wasio na dini tuheshimiane

Ndiyo maana Mungu ameruhusu vyote viwepo

Ndiyo maana funza hutokea na kummaliza binadamu aliyefichwa kaburini

Yote ni ulevi wa kutawala tu
Lakini kilakitu kina Mwisho

Mwisho wetu basi uwe Mazuri
 
Kwa mbaaali na kwa taaaabu sana Nchimbi anaweza kujitokeza kupoza joto
 
Hiyo ni madhabahu ya kishetani iliyolaanika na kila aliyeitumia ni mfuasi wake
 
Hata wakikata miguu ni sawa
 
Kada ameunguza picha leo.
Tuna rais wa ovyo sana nchi hii, rais anasikiliza watu wakatwe vichwa na anafurahia. Sijaona rais mjinga sana kama Samia. Huyo Mwamposa alishaua watu zaidi wa 20 kule Moshi na bado analindwa na serikali. Samia amebadili dini? Mbona amewekewa mikono na muuaji.
Mwamposa, Makonda na Sabaya ni ushirika moja. WAUAJI WOTE. Hilo kanisa la mtume mwizi muuaji na mpumbavu, huyo Mwamposa aliyekuwa mfanya biashara na mchuuzi wa bidhaa ndogo ndogo, ni mhuni, malaya na mwizi.
Serikali yetu imemjengea kanisa bure kwenye ardhi ambayo ingeendelezwa kwa biashara.

Huyo tapeli Mwamposa, muuaji na hakuna tofauti na mhubiri wa Nigeria, Nabii Joshua. Wanachuma pesa za bure za watu maskini. WATANZANIA AMKENI. Kuna habari zilivuja kuwa Mwamposa huwa anafanya kikao na watu wake, kuwa asipofanya yale anayotaka Mtume Mwamposa wanaadhibiwa, Kwa mfano unapoweka mikono usipoanguka utapata taabu sana. WATANZANIA AMKENI. Serikali badala ya kujenga na kusomesha madaktari wao wanamtegemea Mwamposa.
 
Huo ndio msimamo wao
 

kuna watu wasiojua lolote. TAL haishi maisha yake. Maisha yake yaliiisha tarehe 7 Sept 2017. Maisha anayoyaishi sasa yako na kusudi la Mungu hasa kwa waTanganyika. Ni wazi kuwa anao maadui wengi wanaomtizama kwa jicho la husuda, ila wameshafeli sana. Hakuna wa kuweza kushindana na mpango wa Aliye Juu hayupo!

Lissu atatimiza kusudi la Mungu juu yake, kisha atalala kwa mpango wa Mungu mwenyewe, sio mwanadamu.

watu wote tuseme Amina.
 
Amenikumbusha Ahekhe Ngumbewe wa Kiluvya kwa komba maeneo ya Bwawani.

Akili zao Hawa jamaa wanazijua wenyewe.
Elimu Dunia 0
Usisema hawa Jamaa, sema Uyu jamaa ndugu yangu. Kila mtu ana akili na utashi na ufanisi wake. Pia usisahau na njaa yake.

Dini zote... Kwa asilimia kubwa zinasisitiza haki, wajibu na mambo mengii kwa Wema. Basi na wewe jitaidi kutasmini vizuri kila kitu.

Asante sana.
 
Chakushangaza ni kwamba hakuna atakachofanywa maana ni ngozi ya kijani hivyo yupo juu ya sheria...Ila angekua ni ngozi ya kaki basi leo tungesikia habari jeshi la polisi linashikilia kutokana na kutoa kauli za kigaidi na atafikishwa mahakamani.


Ila ipo siku tu MUNGU atatenda lililojema.
 
yule polisi wa mtandaoni afanye doria mapema aione hii atwambie ina hamasisha machafuko ama hapana
 
Halafu ndiyo wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa, anyway hao walipangwa na walitumwa kama wale waliowasimanga wajane na marehemu watatu Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…