Serikali/BAKWATA/Polisi/CCM: Maneno aliyosema Sheikh kwa Mwamposa 'Kukata watu Vichwa' ndio msimamo wenu pia?

Zamani waiitwa Mpambe Nuksi

Nyakati hizi ni Chawa Ila huyu ni chawa pro max.

Kauli kama hizi hazina afya kwa Taifa ambalo tayari lipo ICU
 
Kwa maneno mengine angefurahi sana kama Lissu angekata kichwa, hata hapatushakua na Boko Haram
 
Kauli kama hizi hazina afya kwa Taifa ambalo tayari lipo ICU
Mimi kauli ya huyo haikunishtua hata kidogo ila makofi na sura za wapiga makofi kufuatia kauli hiyo ya Sheikh Mawindwa!

Nawashauri muangalie hiyo video kwa makini na kushuhudia jinsi walio na kiu ya damu za Watanzania wenzao walivyopokea hiyo kauli.

Ajabu tunaambiwa huyo ndiye mwenyekiti wa kamati fulani...sasa jiulize majukumu ya hiyo kamati anayoiongoza.
 
Hivi, kifasihi, "kukata kichwa" maana yake ni nini?!!!! Naona haters wa Samia mnajitahidi kuzusha Kila jambo lakini yote yanafeli. Poleni nyumbu
Upo hapa kutetea usiyoyajua wewe
Unasoma fasihi kweli au ni ile ya kidato cha pili?? Kukata kichwa wewe umeelewaje kifasihi???
 
Mpiga makelele usiyeweza kufanya lolote akitolewa nyuma ya keyboard...
 
Huyo naamini kama kasoma sana ni Kidato Cha Nne aliyefeli, ila bado udogo wake wa Elimu haumoi sababu ya kuhalalisha Uvunjifu wa KATIBA na kufanya JINAI.
Bakhresa kaishia la NNE. Lkn mainjinia, na wataalam mbalimbali wanampigia magoti. Hata serikali inamtambua kuliko maprofesa na madaktari.
 
Keyboard worriers
 
Dua la kuku!
 
Ndio Maana katoliki wamekataa Kila mtu kusimamama mbele na kuhutubia. Owner invitee principle. Ukimwalika mtu kwako upo responsible na majanga atakayoyapata na atakayo yassbabisha
 
Si mlikubaliana leo muende kwenye kanisa la gwajima kuandamana we mbona bado upo mtandaoni? Au umejificha unasubiri wenzako waumie ili upate cha kupost?
 
Si mlikubaliana leo muende kwenye kanisa la gwajima kuandamana we mbona bado upo mtandaoni? Au umejificha unasubiri wenzako waumie ili upate cha kupost?
Wao kazi yao ni maandamano ya mtandaoni kisha kuripoti wajinga wakipigwa huko field.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…