Serikali/BAKWATA/Polisi/CCM: Maneno aliyosema Sheikh kwa Mwamposa 'Kukata watu Vichwa' ndio msimamo wenu pia?

"Sheikh huyu,ambaye nauhakika hata Kidato Cha Nne hajafika au amefeli." Tatizo linaanzia hapo kiongozi wa dini ambaye Elimu yake ni ndogo na mawazo yake lazima yawe ya kibaguzi baguzi.
 
Kama kuna waupande wao atayakataa hayo maneno najenga gorofa mwaka huu
 
Na hiyo jana cha kushanga kuna mbumbu walikua wanapiga makofi, mbinguni tutafika tuko hoi been taaban, yaani kanisani halafu waumini wanashangilia mtu akatwe kichwa, sidhani kama bado tunajitambua na hasa kiimani. ETI NI BORA MTU AKATWE KICHWA, BLALIFUU.
NAIPENDA KENYA
 
Niliwaambia watu miaka mitatu iliyo pita kuwa mwamposa anatumika na usalama wa taifa na ccm wakabisha
 
Nio8waambia watu miaka mitatu iliyo pita kuwa mwamposa anatumika na usalama wa taifa na ccm wakabisha
Kwani zile B.15 zimetoka kwenye kasma ipi ya serikali za kujengea hilo kanisa
 
Kwa uandishi huu kuna shida mahali.
 
Kwani zile B.15 zimetoka kwenye kasma ipi ya serikali za kujengea hilo kanisa
Huyo anatumika kuwapumbaza watz wakristo..ndiyo maana mitume feki yote imepewa vibari vya kutapeli watu kwa njia ya dini..shariti kuu ni kutumikia mafisadi ya ccm
 
Hivi, kifasihi, "kukata kichwa" maana yake ni nini?!!!! Naona haters wa Samia mnajitahidi kuzusha Kila jambo lakini yote yanafeli. Poleni nyumbu
Acha ujinga pale hakuna cha fasihi wala nini, aliwasilisha ujumbe kama alivyoelekezwa akimaanisha aliyesema atakinukisha akatwe kichwa. Yale yalipangwa si bahati mbaya
Hivi, kifasihi, "kukata kichwa" maana yake ni nini?!!!! Naona haters wa Samia mnajitahidi kuzusha Kila jambo lakini yote yanafeli. Poleni nyumbu
 
Kama ilivyo kuwa na vyeti vya degree hakufanyi uwe na akili TIMAMU.
Mmekariri mtu akifanya ujinga tu basi hakwenda shule!!
Ndio vyeti havikufanyi kuwa akili timamu,lakini shule inasaidia kidogo kukomboa fikira
 
Kama ilivyo kuwa na vyeti vya degree hakufanyi uwe na akili TIMAMU.
Mmekariri mtu akifanya ujinga tu basi hakwenda shule!!
Hamna majitu majinga na ya ajabu kama yanayojiita masomi, tena kutana na hao wanasheria ndo kabisa hao maengeener majinga pro max , hawawezi waza nje ya notes
 
Huyo sheikh wa mchongo ni kada wa ccm. Muliro hana ujasiri wa kumhoji mpaka atakapopewa maelekezo kutoka juu.
 
Nchi yetu ni changamoto sana. Shekhe anaona sahihi kwa mtu kukatwa kichwa ila haoni sababu yoyote ya kukemea utekaji na maujai ya watu?. Angemuuliza Rais ripoti ya maujai ya Mzee Kibao ilifikia wapi? Huu ni unafiki wa hali ya juu
 
Waislam watengwe na nani, hii nchi ni ya nani ambaye ana haki ya kumtenga mwingine! Hata kama unajificha kwenye kivuli cha harakati za kulikwamua Taifa bado unashindwa kujificha kuwa wewe ni mdini na kwa sababu ya udini hatutakuacha ufanye unavyotaka na nikuhakikishie halitfanikiwa unalotaka
 
Tatizo wanaleta itikadi za kidini za kukata watu vichwa kisogoni kweny masuala ya nchi!! Kama mtu anatokwa na imani kwa pilau mbuzi, Pepsi barid, ndiz mbivu na kachumbari unategemea nn?
 
Watengwe kwa faida yao na fsida ya taifa...kwani tunapo sema wanawake wasiwe viongozi huwa tuna udini au ni kuzuia kuzama kwa taifa ...kama waislamu wasipo tengwa basi taifa linakwenda kuzama ..kamwe muislamu awezi kuwa mzalendo kwa tanzania
 

Attachments

  • WATANZANIA HII VIDEO NI YENU WENYE MNATAWALIWA NA MMAMA UKO KWENU (1).mp4
    1.1 MB
Serikali inaongozwa na CCM,BAKWATA ni tawi la CCM,polisi ipo chini ya serikali😉😁😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…