Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

Msemaji mkuu wa serikali Greyson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.

Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.

Ujinga wa ccm na wana ccm siku zote

Kujificha Kwenye chochoro za visingizio

Kwahiyo petrol, diesel na kerosene same storyline? Pathetic
 
Msemaji mkuu wa serikali Greyson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.

Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Yaani taaluma inapo ingiliwa na siasa za tumbo ni shida sana. Mahindi yamekosa bei. Badala ya kukamua mahindi tupate mafuta ya kula, tunaita press kudanganyana.
 
Msemaji mkuu wa serikali Greyson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.

Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
umasikini upo pale pale na wakiimba nyimbo za kuwainua watanzania wanyonge, zile nyimbo zimeishia wapi? hali mtaani ni ile ile
 
Viongoz wa hii serikali ya sasa,
Wote washaona watanzania wote mil.60 hatuna Akili.
Tokeapo hatuna akili!! ndio maana wana kuwa na ujasiri huo wa kutuongopea kila leo, ina maana hilo soko la dunia huwa lina athiri TZ, tu?wao waseme tu kuwa matozo mengi ndio chanzo cha yote hayo, kwani hata bei inapopanda kwenye soko la dunia, kama una huruma na wana nchi wako, ili kuwasaidia unaweza kutoa baadhi ya tozo kwanza, ili bei ipungue!!hata kwenye mafuta ya petrol na diesel nako ni hivyo hivyo tu, kuna tozo karibia 20!!kwani nchi nyingine wanafanyaje?
 
Inamana mafuta ya kupikia yanatoka nje kama diesel & petrol?
Ndioo!!karibia asilimia 60 ya mafuta ya kula yanatoka nchi za nje!!sisi ni wa kuhurumiwa tu, utasikia jitu , linasema ohhh, watuache tu sisi kwa sasa tunaweza kujitegemea kwa karibu kitu !!nchi hii ni ngumu sana, yaani kiingozi anaingia anawakuta mna matatizo fulani anapiga miaka yake 10, anaondoka, anawaacha na matatizo yale yale kwa kiasi kile kile alichowakuta nayo!!utegemee kuna kwenda mbele hapo?!!kibaya zaidi na anayekuja anatumia mbinu zile zile na watu walewale.
 
Msemaji mkuu wa serikali Greyson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.

Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Hiyo bei ni kwa kilo, kwa aunzi, kiroba, debe, kijiko yaani ni bei ya mafuta katika kipimo gani!?
 
Back
Top Bottom