Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

Kwahio tumeingiza dollar ngapi na kunufaisha vipi wakulima wetu kwa kuuza mafuta yetu nje ?

Au hatuna Ubora wa kuweza kuuza huko ili tupate hizo dollar zisaidie kujenga miundombinu na tupunguze bei ya tozo ili chenji inayobaki tuweze kununua hayo mafuta yaliyopanda bei
 
waruhusu watu waingize mafuta na sukari km tumeshndw kuzalisha vya kutosha, sio kudanyaganya ka mitoto
 
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.

Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Huyu mpuuzi huwa hata hajui anaongea nini na kwa wakati gani
 
Nimeanza kuielewa kauli ya IGP kupita madarasa ya dini kwa watoto kuona wanachofundishwa.

Lakini kwa huu mwendo, watajikuta wanapata changamoto sana. Kuna vitu vingi sana vinaendelea vinaweza sababisha kuzalisha magaidi au kuchochea uvunjifu wa amani.

Bado tozo hazijapoa vizuri, unakuja na maelezo yasiyoeleweka kuhusu bidhaa muhimu inayogusa watu wengi kama sio wote.
 
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.

Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Kwa hiyo na alizeti tunayolima n kukamua wenyewe imepanda huko Duniani,(Dodoma na Singida)?
 
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.

Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Alizeti nyingi, karanga nyingi, tetere nyingi lakini hatuzioni, nani mlozi wetu!
 
Mafuta yanayoagizwa nje yameongezewa tozo kutoka 25% mpaka 35% lengo kulinda viwanda vya ndani ambavyo havikuandaliwa!!!!!
 
Ni waziri gani? Anatakiwa atafutwe na kuwajibishwa kwa kutudanganya kama watoto au wajinga.
 
Kama ni uongo tu, kumtafuta waziri ni kumuonea! Serikali imeundwa hivyo, chama sasa ndo kwisha kazi, nenda tu juu yanakotoka(ga) maagizo.
 
Watanzania hatujui kutumia fursa. Ningekuwa Rais ningeamuru Chemical na Process engineers pamoja na wakulima wa nafaka zinazotoa mafuta ndani ya mwaka mmoja tuwe tumejitosheleza kwa mafuta ya kula. Mbona jeshini huwa inawezekana? Unapewa muda fulani wa kuvuka mto ili hali hakuna daraja na unavuka!!!!!
 
Wilaya za Kigoma zimetenga mashamba ya kulima michikichi. Nendeni mkalime kwa ajili ya mafuta.
 
Juzi nilikuwa nawasiliana na mtu wa Ukraine, ananiambia wanauza Tani$500/ton mafuta ghafi ya alizeti.
 
Watanzania hatujui kutumia fursa. Ningekuwa Rais ningeamuru Chemical na Process engineers pamoja na wakulima wa nafaka zinazotoa mafuta ndani ya mwaka mmoja tuwe tumejitosheleza kwa mafuta ya kula. Mbona jeshini huwa inawezekana? Unapewa muda fulani wa kuvuka mto ili hali hakuna daraja na unavuka!!!!!
Nilitaka kusema umeniwahi!
Tutengeze soko letu!
Kwa uhaba huo ni fursa nzuri tu....
 
Back
Top Bottom