johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msemaji mkuu wa serikali Greyson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Labda ni kwa pipa.Hilo ongezeko la kutoka $500 mpaka $1000 ni kwa ujazo gani mkuu!?
Yaani taaluma inapo ingiliwa na siasa za tumbo ni shida sana. Mahindi yamekosa bei. Badala ya kukamua mahindi tupate mafuta ya kula, tunaita press kudanganyana.Msemaji mkuu wa serikali Greyson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
umasikini upo pale pale na wakiimba nyimbo za kuwainua watanzania wanyonge, zile nyimbo zimeishia wapi? hali mtaani ni ile ileMsemaji mkuu wa serikali Greyson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Msigwa kakosa kahawa za Ikulu sasa ana zitafutie habari.Inamana mafuta ya kupikia yanatoka nje kama diesel & petrol?
Tokeapo hatuna akili!! ndio maana wana kuwa na ujasiri huo wa kutuongopea kila leo, ina maana hilo soko la dunia huwa lina athiri TZ, tu?wao waseme tu kuwa matozo mengi ndio chanzo cha yote hayo, kwani hata bei inapopanda kwenye soko la dunia, kama una huruma na wana nchi wako, ili kuwasaidia unaweza kutoa baadhi ya tozo kwanza, ili bei ipungue!!hata kwenye mafuta ya petrol na diesel nako ni hivyo hivyo tu, kuna tozo karibia 20!!kwani nchi nyingine wanafanyaje?Viongoz wa hii serikali ya sasa,
Wote washaona watanzania wote mil.60 hatuna Akili.
Hahahahaha . . . Hii point yako makini kabisa.Na yale mawese ya kigoma, alizeti ya singida, ufuta wa morogoro
Yaan Vyote hivyo vimepanda Kwenye soko la Dunia?
Ndioo!!karibia asilimia 60 ya mafuta ya kula yanatoka nchi za nje!!sisi ni wa kuhurumiwa tu, utasikia jitu , linasema ohhh, watuache tu sisi kwa sasa tunaweza kujitegemea kwa karibu kitu !!nchi hii ni ngumu sana, yaani kiingozi anaingia anawakuta mna matatizo fulani anapiga miaka yake 10, anaondoka, anawaacha na matatizo yale yale kwa kiasi kile kile alichowakuta nayo!!utegemee kuna kwenda mbele hapo?!!kibaya zaidi na anayekuja anatumia mbinu zile zile na watu walewale.Inamana mafuta ya kupikia yanatoka nje kama diesel & petrol?
Hiyo bei ni kwa kilo, kwa aunzi, kiroba, debe, kijiko yaani ni bei ya mafuta katika kipimo gani!?Msemaji mkuu wa serikali Greyson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Ndio mkuu.lkn hiyo ni fursa badala ya kulaumu inatakiwa tujikite kulima alizeti na kutafuta mashine za kukamua cokila kitu tunaumu tu.Seriously!!? soko la dunia hadi kwenye mafuta ya kula? huyu jmaa ni msemaji wa serikali au mzungumzaji wa serikali......