Kwa lita!Maccm bana mnaandikaga matope tu, Hizo dola 500 na 1000 ni kwa Lita au kwa pipa?
Huyu mpuuzi huwa hata hajui anaongea nini na kwa wakati ganiMsemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
wanatuona watanzania wote ni wajinga kama waoUkienda hapo Kenya ipo chini sijui wao wanachukua wapi hata nchi jirani wanaopitishia mafuta bandari salama bei kwao ipo chini sijui kwetu shida iko wapi?
Kwa hiyo na alizeti tunayolima n kukamua wenyewe imepanda huko Duniani,(Dodoma na Singida)?Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Mahitaji ni zaidi ya tani laki 6 na sisi tunalima chini ya tani laki tatu!Kwa hiyo na alizeti tunayolima n kukamua wenyewe imepanda huko Duniani,(Dodoma na Singida)?
Alizeti nyingi, karanga nyingi, tetere nyingi lakini hatuzioni, nani mlozi wetu!Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
TanzaniaDuniani!
Wilaya za Kigoma zimetenga mashamba ya kulima michikichi. Nendeni mkalime kwa ajili ya mafuta.Watanzania hatujui kutumia fursa. Ningekuwa Rais ningeamuru Chemical na Process engineers pamoja na wakulima wa nafaka zinazotoa mafuta ndani ya mwaka mmoja tuwe tumejitosheleza kwa mafuta ya kula. Mbona jeshini huwa inawezekana? Unapewa muda fulani wa kuvuka mto ili hali hakuna daraja na unavuka!!!!!
Nilitaka kusema umeniwahi!Watanzania hatujui kutumia fursa. Ningekuwa Rais ningeamuru Chemical na Process engineers pamoja na wakulima wa nafaka zinazotoa mafuta ndani ya mwaka mmoja tuwe tumejitosheleza kwa mafuta ya kula. Mbona jeshini huwa inawezekana? Unapewa muda fulani wa kuvuka mto ili hali hakuna daraja na unavuka!!!!!