Kwani kuna kiwanda cha kuyachakata hayo? Na mbegu wanazotumia ni zinazotumiwa duniani?Na yale mawese ya kigoma, alizeti ya singida, ufuta wa morogoro
Yaan Vyote hivyo vimepanda Kwenye soko la Dunia?
Au sikU hizi soko la Dunia limehamia kigoma, singida na morogoro?
Jenga kiwanda ukamue usiilaumu serikaliYaani taaluma inapo ingiliwa na siasa za tumbo ni shida sana. Mahindi yamekosa bei. Badala ya kukamua mahindi tupate mafuta ya kula, tunaita press kudanganyana.
Kwani hujui tunaagiza mafuta ya kula nje?Ndio nasikia Leo kuwa mafuta ya kula nayo yanategemea soko la dunia
Kenya ya wapi ipo chini? Usiseme kitu bila uhakika mzeeUkienda hapo Kenya ipo chini sijui wao wanachukua wapi hata nchi jirani wanaopitishia mafuta bandari salama bei kwao ipo chini sijui kwetu shida iko wapi?
Viongoz wa hii serikali ya sasa,
Wote washaona watanzania wote mil.60 hatuna Akili.
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
PIA NA MAKATO YA SIMU YAMEPANDA SOKO LA DUNIA BABA USISAHAU BABA
Wapandishe sisi wakulima tuliyo lima alizeti tunakula bata kwa mrija.Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.