ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,126
Hivi serikali haiwezi kutenga hata billions of money ifanye kilimo cha kisasa maana virgin lands wanazo, why kununulia watumishi eg Das, Ded etc magari ya 500 million each kisha basic need kama chakula ni mtihani kwa mpiga kura wako?!?! Kilimo kitakomboa hii nchi sielewi kwanini hawafanyi hivyo, maybe im too dumb to understand mtu anieleweshe kwanini hawawezi tenga fungu wafanye kilimo cha kisasa au hata kufanya subsidies wachimbie watu visima wafanye modern farming na sio kilimo cha kutegemea mvua