Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Wa uswahili sasa tunatakiwa tule mihogo, wali na maharage watakula wenye pesa.Wale maharage ni msosi mmoja maharufu uswahilini, ila naona nao unaenda kuonekana ni kitu cha anasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa uswahili sasa tunatakiwa tule mihogo, wali na maharage watakula wenye pesa.Wale maharage ni msosi mmoja maharufu uswahilini, ila naona nao unaenda kuonekana ni kitu cha anasa.
Karibuni katika Kilimo enyi Wakazi wa mijini. Hivi sasa kilimo kinalipaSerikali imetangaza ongezeko la bei katika baadhi ya bidhaa za vyakula, huku kushuka kwa uzalishaji ikitajwa kuwa sababu.
Miongoni mwa bidhaa za chakula zilizopanda bei katika mwaka ulioishia Septemba mwaka huu ikilinganishwa na mwaka ulioishia Agosti mwaka huu ni mchele, maharage, mahindi.
Hayo yameelezwa leo Septemba 15 na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa bei za bidhaa katika mwaka ulioishia mwezi Agosti mwaka huu.
Dk Kijaji amesema bei ya mchele imeongezeka hadi kufikia kati ya Sh2000 hadi Sh3500 katika Septemba mwaka huu.
"Ikilinganishwa na Agosti mwaka huu bei ya mchele sokoni ilikuwa kati ya Sh1700 na Sh3000,"
Bei ya maharage ilifika kati ya Sh1, 750 hadi Sh3500 ikilinganishwa na Sh1800 hadi Sh2, 600 iliyokuwapo Agosti mwaka huu.
Kuhusu mahindi bei yake imefikia Sh900 hadi Sh1,550 kwa kilo ikilinganishwa na Sh700 hadi 1,500 Agosti mwaka huu.
Kuhusu uzalishaji wa chakula, mahindi yalishuka kwa asilimia 7.1, uzalishaji wa mchele ulishika kwa asilimia 30.9 na maharage uzalishaji ulishuka kwa asilimia 11.1. Kati ya mwaka 2020/2021 ikilinganishwa na Mwaka 2021/2022.
Ongezeko hilo la bei katika baadhi ya bidhaa za chakula na zisizo za chakula zimefanya mfumuko wa bei wa Taifa kuongezeka kwa asilimia 0.1 katika mwezi Septemba ikilinganishwa na mwezi uliotangulia.
Sasa wewe ndo kichekesho kwa kuchagua kazi ambayo haiwezi kumudu kipato Cha kukulishaWatu kila mtu awe mkulima hizo kazi nyingine watafanya nani tunashida sana kwenye kufikiri
Mfano developed countries watu wanaojihusisha na kilimo hawafiki hata asilimia 3 lakin ni nadra sana kusikia Kuna njaa, Ila Tanzania na nchi nyingi za afrika majority watu almost 30% ya watu wanashiriki kwenye kilimo lakin ni kawaida kusikia Kuna njaa
Mtu unalima heka mbili au moja alafu unajiweka kwenye kundi la wakulima si vichekesho alafu unataka ufanikiwe kupitia kilimo watu waache utani
Tafuta pesa mkuu chakula hata kikiuzwa 10000 kwa kilo huwezi lalamikaHawa watu ni mbumbumbu sana!
Tulionya humu toka mwaka unaanza kwamba selikali isiruhusu mazao kutoka kwenda nje, wakakaza mafuvu! Na kuna mataahira humu yakawa yanatuita sukuma gang!
Leo hii mchele ule chenga kabisa wa vitumbua unauzwa sh 2000 toka 1000
Nmeongea na muuzaja anasema watu wa nje hasa kenya wana mastoo ya kutosha wamejaza mchele na hili la selikali kupiga marufuku sasa hivi imeshtuka kukiwa too late na anasema kabisa hali itakuwa mbaya zaidi maana hakuna tena mchele huko mashambani.
Ngoja ufike hata elfu 10 ili hata yale mataahira yaliyokuwa yana kejeli tuliposhauri yakianza kulala njaa ndio yatapata akili
Bashe ni jipu!Bashe ni muchknow Sana ataigharimu nchi hii,bora ubane pesa lakini sio msosi
Nilishakuja kukulia kwako kwamba Nina njaa ya chakulaSasa wewe ndo kichekesho kwa kuchagua kazi ambayo haiwezi kumudu kipato Cha kukulisha
Wafunge mipaka na iundwe sheria ngumu atakayekamatwa akisafirisha nafaka nje apigwe kesi ya uhujumu uchumi
Ndo mipaka imefungwa mangi tupambane na hali zetu kitaeleweka tuKwan kulima ulinisaidia bwashee???
kupungua uzalishaji ni sababu ambayo si halisi bali ni kwa sababu mama aliruhusu mazao yaende nje ya nchi hivyo kusababisha nakisi ya bidhaa hizo.ukienda mpaka wa mutukula,holili,namanga nk utashuhudia ni kiasi gani cha malori yanayosafirisha chakula na nafaka kwenda nje ya mipaka yetu.kwa mantiki hiyo bei ya mazao itapanda zaidi ya hivyo ilivyo kwa sasa.Wafunge mipaka na iundwe sheria ngumu atakayekamatwa akisafirisha nafaka nje apigwe kesi ya uhujumu uchumi
mgawanyo wa kazi.Kalime ilinuuze buku jero,kwani kila mtu akiwa mkulima kuna shida gani si unakula mwenyewe Ili uache ulalamishi wa kipuuzi?
Ni hivi ukitaka vya buku jero kalime vinginevyo utaishia kulalama na Wala hakuna kitu kitabadilika..
Kama unajua ni mgawanyo ndio nunua Kwa bei iliyoko huwezi kalime.mgawanyo wa kazi.
Ulitaka serikali ikulishe? Unamlalamikia nani bei inapangwa na soko. Pambana mwanaume katafute na shmba ulime hakuna atakayekusaidia huku na serikali haina shamba.Serikali imetangaza ongezeko la bei katika baadhi ya bidhaa za vyakula, huku kushuka kwa uzalishaji ikitajwa kuwa sababu.
Miongoni mwa bidhaa za chakula zilizopanda bei katika mwaka ulioishia Septemba mwaka huu ikilinganishwa na mwaka ulioishia Agosti mwaka huu ni mchele, maharage, mahindi.
Hayo yameelezwa leo Septemba 15 na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa bei za bidhaa katika mwaka ulioishia mwezi Agosti mwaka huu.
Dk Kijaji amesema bei ya mchele imeongezeka hadi kufikia kati ya Sh2000 hadi Sh3500 katika Septemba mwaka huu.
"Ikilinganishwa na Agosti mwaka huu bei ya mchele sokoni ilikuwa kati ya Sh1700 na Sh3000,"
Bei ya maharage ilifika kati ya Sh1, 750 hadi Sh3500 ikilinganishwa na Sh1800 hadi Sh2, 600 iliyokuwapo Agosti mwaka huu.
Kuhusu mahindi bei yake imefikia Sh900 hadi Sh1,550 kwa kilo ikilinganishwa na Sh700 hadi 1,500 Agosti mwaka huu.
Kuhusu uzalishaji wa chakula, mahindi yalishuka kwa asilimia 7.1, uzalishaji wa mchele ulishika kwa asilimia 30.9 na maharage uzalishaji ulishuka kwa asilimia 11.1. Kati ya mwaka 2020/2021 ikilinganishwa na Mwaka 2021/2022.
Ongezeko hilo la bei katika baadhi ya bidhaa za chakula na zisizo za chakula zimefanya mfumuko wa bei wa Taifa kuongezeka kwa asilimia 0.1 katika mwezi Septemba ikilinganishwa na mwezi uliotangulia.
Hapa chini ni Bei za Bidhaa kwa Mwezi August 2022
View attachment 2359407
Acha ujinga bei ikipanda wanaoumia ni wote ndo maana serekali inafanya kila namna kupitia contraction fiscal na monetary policy kushusha Bei inflation ni kitu kibaya kwenye uchumi wa nchi ukienda marekani serekali Yao inapambana kushusha Bei ya vitu ikiwemo ya vyakulaUlitaka serikali ikulishe? Unamlalamikia nani bei inapangwa na soko. Pambana mwanaume katafute na shmba ulime hakuna atakayekusaidia huku na serikali haina shamba.
Kwanini wafunge mipaka ? Mpaka lini tanzania tutakuwa nyuma kwenye soko la kimataifa?Wafunge mipaka na iundwe sheria ngumu atakayekamatwa akisafirisha nafaka nje apigwe kesi ya uhujumu uchumi
Tena kilo ifike hata 4500 ya mchelePembejeo na gharama za usafirishaji zimepanda, walitegemea muujiza gani ili bei zisipande? Huu ni mwanzo tu
Wanaonufaika na kupanda kwa bei ya vyakula si wakulima kamwe.Naona watu wengi wanalalamika kuhusu; mipaka ifungwe n.k, jamani gharama za uzalishaji katika sekta ya kilimo imekuwa kubwa sana. Mpaka kilo moja ya mchele inakufikia wewe jua kuna watu wametumia nguvu na gharama kubwa sana. Je mnataka hawa wakulima walime kwa hasara?
Kuelekea kiangazi siku zote bei za vyakula inapanda.Serikali imetangaza ongezeko la bei katika baadhi ya bidhaa za vyakula, huku kushuka kwa uzalishaji ikitajwa kuwa sababu.